Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024.
Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024. pic.twitter.com/IU0kHqZhLe— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 12, 2024
Soma zaidi »Viongozi mbalimbali na wananchi katika sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar uwanja wa Amaan tarehe:12 Januari 2024.
Mradi wa ujenzi wa barabara ya Nsalaga – Ifilisi (km 29) ni sehemu ya Barabara kuu ya Igawa – Songwe – Tunduma yenye jumla ya urefu wa kilometa 218 ambayo ni kiungo muhimu kwa mikoa ya nyanda za juu kusini na nchi zilizopo ukanda wa SADC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Viongozi mbalimbali na wananchi katika Tamasha la Burudani na Urushaji wa Fashifash viwanja vya Maisara Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 11 Januari 2024.
Soma zaidi »Heri ya Sikukuu ya Mapinduzi! Tuungane pamoja kusherehekea siku hii muhimu na kujenga umoja wetu.
Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kijamii na kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa mfumo wa utawala.
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan wakati alipofika Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar kwa ajili ya kuaga baada ya kumaliza muda wake hapa nchini.
Mhe Kassim Majaliwa Akiweka Jiwe La Msingi La Hospitali Kaskazini Unguja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”- Pangatupu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ujenzi wake umegharimu Tsh Bil. 6.7. Hii ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Soma zaidi »