Matokeo ChanyA+

Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam

Rais @SuluhuSamia ameshiriki kwenye Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024. pic.twitter.com/IEe3wefsUy— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 21, 2024

Soma zaidi »