TRA ilikusanya Trilioni 3.05 mwezi Desemba 2023, ukusanyaji wa juu zaidi kwa mwezi katika historia. Ilipita lengo lake kwa asilimia 102.9%. Mwelekeo wa Ukusanyaji wa Mapato kwa miezi 6 iliyopita. Julai – Trilioni 1.9 ,Agosti – Trilioni 2 ,Septemba – Trilioni 2.6 , Oktoba – Trilioni 2.148 ,Novemba – Trilioni 2.143 ,Desemba – Trilioni 3.049. Wajibu …
Soma zaidi »MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
DEMOKRASIA”Mjadala kuhusu Uelewa wa 4R’s (Reconciliation (Maridhiano), Reform (Mageuzi), Rehabilitation. (Kurejesha hali ya kawaida), and Rebuilding (kujenga upya). MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASADEMOKRASIA”Mjadala kuhusu Uelewa wa 4R’s (Reconciliation (Maridhiano), Reform (Mageuzi), Rehabilitation. (Kurejesha hali ya kawaida), and Rebuilding (kujenga upya). #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani “TOA MAONI YAKO, KUIMARISHADEMOKRASIA". pic.twitter.com/P3HUnfkQF4— Matokeo …
Soma zaidi »FALSAFA YA 4R’s YA RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN
RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN alianzisha falsafa ya 4R’s (Reconciliation-Maridhiano, Resilience – Uthabiti, Reforms – Mageuzi naRebuilding- Ujenzi Upya,) ili kudumisha amani,utulivu na kushughulikia masuala ya siasa, kijamii, kisiasa na kiuchumi nchini. RAIS Mhe. DKT SAMIA SULUHU HASSAN alianzisha falsafa ya 4R’s (Reconciliation-Maridhiano, Resilience – Uthabiti, Reforms – Mageuzi …
Soma zaidi »MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
“Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu nchini, usiwe kigezo cha kugawa wananchi bali watu wote waungane, wapendane na wathaminiane ili kuendelea kudumisha amani iliyopo”. Mhe Dkt Doto Biteko
MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Kodi zinachangia katika kufadhili miradi ya maendeleo, miundombinu, na huduma za jamii. Hii inaweza kusaidia kuimarisha uchumi wa nchi.
Waziri ya Madini, Mhe. Anthony Mavunde ameipongeza Bodi ya Wakurugezi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kwa kulisimamia vema shirika hilo na kulifanya ling’are kwa kuwa moja ya mashirika ya umma yaliyopiga hatua kiasi cha kutoa gawio la Sh bilioni nane kwa Serikali.
NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU SEKTA YA ELIMU KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »NUKUU ZA MH RAIS DK SAMIA SULUHU HASANI, KUHUSU MAZINGIRA NA MABADILIKO YA TABIA YA NCHI KATIKA HOTUBA YAKE YA MWISHO WA MWAKA 2023 KUKARIBISHA MWAKA 2024 KWA WATANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »