Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amekutana na kufanya mazungumzo na Kiongozi wa United Methodist Church Bishop Dkt. Mande Muyomba katika ofisi ndogo za Bunge Jijini Dar es Salaam leo tarehe 8 Januari, 2024.
MatokeoChanya
January 8, 2024
BUNGE LA TANZANIA, Matokeo ChanyA+, MKOA WA DAR ES SALAAM, Tanzania MpyA+
199 Imeonekana