Kukamilisha mazungumzo ya kuongeza ushiriki wa uwekezaji wa TPDC kwenye kitalu cha gesi Mnazi Bay mkoani Mtwara, ili kuongeza hisa na umiliki zaidi wa TPDC kwenye kitalu hicho kutoka 20% za sasa hadi 40%. Kufungua fursa kwa sekta binafsi kupitia Kongamano la Biashara na Uwekezaji kwa lengo la kuvutia uwekezaji …
Soma zaidi »REKODI 10 ZA RAIS SAMIA SULUHU AMBAZO HAZIJAWAHI KUFANYWA NA RAIS YEYOTE TANZANIA.
NA HAYA NDIYO MATOKEO CHANYA+
Soma zaidi »Rebuilding of the Nation (Ujenzi wa Taifa): Kuruhusu maandamano na mikutano ya hadhara ni hatua kuelekea ujenzi wa taifa lenye demokrasia imara. #MSLAC #mamasamialegalaidcampaign
Resilience (Uimara): Fursa za upinzani kutoa maoni yao: Kutoa ruhusa kwa maandamano kunaweza kutazamwa kama ishara ya uimara wa mfumo wa kisiasa wa nchi, ambapo vyama vya upinzani vinaweza kutoa sauti zao na kueleza malalamiko yao. #MSLAC #mamasamialegalaidcampaign
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Soekarno-Hatta, Tangerang kwa ajili ya ziara ya Kitaifa nchini Indonesia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi, Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Lugalo Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Jacob Mkunda kabla ya kufungua mkutano wa Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Vatican kuanzia tarehe 11 hadi 12 Februari, 2024 kufuatia mwaliko wa kiongozi mkuu wa Vatican na Kanisa Katoliki duniani Papa Francis.
Hotuba Ya Rais Kutoka Ikulu
pic.twitter.com/Q5ClGceWhL— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 21, 2024
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu ameshiriki kwenye Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam
Rais @SuluhuSamia ameshiriki kwenye Ibada Maalum ya kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa iliyofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar es Salaam tarehe 21 Januari, 2024. pic.twitter.com/IEe3wefsUy— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 21, 2024
Soma zaidi »