RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

MISWADA YA SHERIA ZA UCHAGUZI NA SHERIA ZA VYAMA VYA SIASA

Madhumuni muhimu Ya mkutano huu, ni kujadili na kuelewa kwa kina falsafa ya "4R" iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. "4R" inaashiria Reconciliation (Maridhiano), Reforms (Mageuzi), Regulations (Sheria), na Rebranding (Kuibadilisha Upya). #ImarishaDemokrasia @ikulumawasliano pic.twitter.com/oyISgqPJXb— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Maridhiano yamesaidia katika uponyaji wa kihisia na yameleta ukweli wa kihisia na kiroho. Maridhiano yamesaidia watu au jamii zilizoathiriwa na migogoro kusonga mbele na kupona kutokana na majeraha ya kihisia. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/buHoyHkQO8— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

MKUTANO WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA

Rais Mhe. DKT SAMIA alianzisha falsafa ya 4R’s Reconciliation, Resilience, Reforms na Rebuilding ili kudumisha amani, utulivu na kushughulikia masuala ya siasa, kijamii na kiuchumi nchini. Ni vyema zitafsiriwe kwa lugha ya Kiswahili. #ImarishaDemokrasia #TunzaAmani #KaziIendelee pic.twitter.com/cBDKbhEWQU— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024

Soma zaidi »

Tumepiga hatua kubwa katika sekta za afya, maji, nishati, elimu, kilimo, uwekezaji, miundombinu, michezo, diplomasia yenye tija kwa taifa letu, uchumi kwa ujumla na maeneo mengine mengi. Katika yote tumebaki kuwa wamoja na wenye amani na utulivu.

Soma zaidi »