Madhumuni muhimu Ya mkutano huu, ni kujadili na kuelewa kwa kina falsafa ya "4R" iliyotolewa na Rais Samia Suluhu Hassan. "4R" inaashiria Reconciliation (Maridhiano), Reforms (Mageuzi), Regulations (Sheria), na Rebranding (Kuibadilisha Upya). #ImarishaDemokrasia @ikulumawasliano pic.twitter.com/oyISgqPJXb
— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 4, 2024
Ad