( Vienna Convention on Diplomatic Relations) Ni mojawapo ya mikataba muhimu ya kimataifa inayosimamia na kudhibiti shughuli za kidiplomasia kati ya nchi na serikali zao. Mkataba huu ulipitishwa na Umoja wa Mataifa mwaka 1961 na kuanza kutumika rasmi mwaka 1964. Lengo kuu la mkataba huu ni kuhakikisha utaratibu wa mahusiano …
Soma zaidi »Hii Ndiyo Maana Ya Kweli Ya Falsafa Ya 4R—Kuweka Taifa Mbele Ya Maslahi Binafsi.
4R NI HATUA MUHIMU KATIKA KUKUZA SEKTA YA ELIMU NCHINI.
Shule ya Sekondari ya Jenista Mhagama, iliyopo jimbo la Peramiho, imeendelea kuleta maendeleo makubwa kwa wakazi wa eneo hilo na Tanzania kwa ujumla. Ujenzi wa shule hii ulianza mwaka 2020 na hadi sasa ina jumla ya majengo 126, yakiwemo madarasa 34, maabara 4 za sayansi, maktaba, bwalo, na jengo la …
Soma zaidi »Ni kwa namna gani falsafa ya 4r inalinda utamaduni wetu wa kitanzania
Falsafa ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, na Rebuilding) inalenga kuimarisha umoja wa kitaifa na kufufua maadili ya kitanzania, ambayo yanajumuisha utamaduni, lugha, na desturi zetu. Kwa njia ya maridhiano (reconciliation), 4R inasaidia kurejesha mshikamano wa jamii, ikisisitiza mazungumzo na amani. Uhimilivu (resilience) unahimiza uvumilivu wa jamii yetu kwa kushikilia mila …
Soma zaidi »NI KWA NAMNA GANI 4R INAGUSA MAENDELEO YA SIASA NCHINI TANZANIA?
Falsafa ya 4R inagusa siasa chanya kwa namna inavyoweza kuleta maendeleo, usawa, na utulivu katika jamii. Katika muktadha wa siasa za Tanzania, falsafa hii inashikilia mizizi muhimu ya utamaduni na desturi za taifa, huku ikiwiana na baadhi ya vifungu vya Katiba ya Tanzania. Hii ni kutokana na msingi wake wa kuendeleza ushirikiano …
Soma zaidi »SISI NI WATANZANIA
Tuziishi 4R KATIKA MAISHA YETU YA KILA SIKU.. TULINDE TUNU ZA TAIFA LETU NA KUFUATA SHERIA ZA NCHI YETU Tuendelee kuelimika zaidi https://matokeochanya.co.tz/2024/07/26/4r-falsafa-za-maridhiano-ustahimilivu-mabadiliko-na-kujenga-upya-kwa-maendeleo-endelevu-ya-taifa/… maana #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#KaziIendelee
Soma zaidi »Falsafa ya 4R inavyohusiana vipi na mila na desturi za Tanzania katika kuimarisha amani na mshikamano wa kitaifa?
Falsafa ya 4R, inalenga kuimarisha amani na mshikamano wa kitaifa kwa kuzingatia misingi ya haki, maridhiano, na urejesho wa mshikamano miongoni mwa jamii. Katika muktadha wa Tanzania, mila na desturi zina nafasi kubwa katika kuimarisha amani na mshikamano, na falsafa hii inazingatia vipengele vya mila hizo. 1. Reconciliation (Maridhiano): Katika utamaduni …
Soma zaidi »“Ni kwa namna gani ujenzi wa shule umechangia kuboresha mazingira ya elimu na kukuza vipaji?
“Ninapenda kutoa shukrani za dhati kwa serikali yetu chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Mheshimiwa Mbunge Jenista Mhagama kwa jitihada kubwa walizoweka katika ujenzi wa shule yetu. Ujenzi huu umekuwa neema kwa sisi wanafunzi, kwani umeboresha mazingira yetu ya kujifunza. Tunajivunia pia kushirikishwa katika Tamasha la Utamaduni …
Soma zaidi »Historia ya Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama na Mchango wake kwa Maendeleo ya Wangoni, Ruvuma, na Tanzania
Katika historia ya Tanzania, jina la Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama lina nafasi ya kipekee, si tu kwa sababu ya uongozi wake wa kidesturi lakini pia kutokana na athari zake kwa jamii ya Wangoni na urithi wa kitamaduni katika mkoa wa Ruvuma. Chifu Nkosi Mharule, aliyekuwa mmoja wa viongozi wa …
Soma zaidi »“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.@samiasuluhu99
Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.
Soma zaidi »