Mradi wa Maji wa Same-Mwanga-Korogwe umefikia asilimia 95.5 ya utekelezaji wake kufikia August 2024. Mradi huo unatekelezwa kwa gharama ya shilingi bilioni 262 na unatarajiwa kuhudumia zaidi ya wakazi 400,000. Kwa Wilaya ya Same, mabomba ya usambazaji maji yamewekwa kwa umbali wa kilomita 17.755, wakati Wilaya ya Mwanga imefikia kilomita …
Soma zaidi »Jukumu Katika Ujenzi wa Taifa Ni La Kila Mtanzania.
Kwa kujenga uchumi, kuendeleza miundombinu, kukuza sekta za kilimo, viwanda, biashara, na kutoa huduma bora za kijamii, kila Mtanzania ana nafasi na wajibu wa kutoa mchango wake. Kwa mfano, wakulima wanapozalisha mazao bora, wanachangia kwenye usalama wa chakula na mapato ya nchi. Wajasiriamali wanapounda biashara na kuzalisha ajira, wanasaidia kupunguza …
Soma zaidi »Mradi wa upanuzi wa barabara ya Ubungo – Kimara Sio Ndoto Tena.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Kata ya Litola, Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tarehe 26 Septemba, 2024.
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Je, Kila Mtanzania Ana Mchango Gani Katika Ujenzi wa Taifa Letu?
Kwa kujenga uchumi, kuendeleza miundombinu, kukuza sekta za kilimo, viwanda, biashara, na kutoa huduma bora za kijamii, kila Mtanzania ana nafasi na wajibu wa kutoa mchango wake. Kwa mfano, wakulima wanapozalisha mazao bora, wanachangia kwenye usalama wa chakula na mapato ya nchi. Wajasiriamali wanapounda biashara na kuzalisha ajira, wanasaidia kupunguza …
Soma zaidi »“Tanzania itaendelea mbele kama tutafanya kazi kwa pamoja na kwa uzalendo.” Mhe Rais. Dkt. Samia
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Nyoni wakati akiwa njiani kuelekea Nyasa, mkoani Ruvuma tarehe 25 Septemba, 2024.
#KaziIemdelee #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya#MSLAC
Soma zaidi »Shamba La Kahawa La Aviv, Moja Ya Uwekezaji Mkubwa Wa Ukulima Wa Kahawa Nchini.
‘Katika ziara yangu ya kikazi mkoani Ruvuma, leo nimetembelea shamba la Kahawa la Aviv, moja ya uwekezaji mkubwa wa ukulima wa kahawa nchini. Nimeagiza kuendelea kuhakikisha teknolojia inayotumika kwa ufanisi kwenye uwekezaji wa aina hii itumike pia katika kuwapa ujuzi wananchi ili washiriki kikamilifu katika fursa zilizopo. Mbali na ajira, …
Soma zaidi »Amani Ni Tunu Yetu Ya Kipekee Ambayo Hatupaswi Kuichezea
Amani ni tunu yetu ya kipekee ambayo hatupaswi kuichezea wakati wa uchaguzi. Kila mmoja wetu anapaswa kuilinda na kuitetea kwa nguvu zote.
Soma zaidi »Utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta la EACOP, Juhudi za Serikali Chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan na Mafanikio Yake Hadi Sasa.
Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) ni mradi wa kimkakati unaolenga kuimarisha sekta ya nishati na uchumi wa Tanzania na Uganda. Bomba hili litakuwa na urefu wa kilomita 1,443 na litatoka Hoima, Uganda, kuelekea bandari ya Tanga, Tanzania. Utekelezaji wa mradi huu umeleta manufaa makubwa katika …
Soma zaidi »