Falsafa ya 4R, inalenga kuimarisha amani na mshikamano wa kitaifa kwa kuzingatia misingi ya haki, maridhiano, na urejesho wa mshikamano miongoni mwa jamii. Katika muktadha wa Tanzania, mila na desturi zina nafasi kubwa katika kuimarisha amani na mshikamano, na falsafa hii inazingatia vipengele vya mila hizo. 1. Reconciliation (Maridhiano): Katika utamaduni …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili mkoani Kilimanjaro
Rais Dkt. Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na Maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi yatakayofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS) – Moshi, Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
Soma zaidi »SHULE YA SEKONDARI YA JANISTA MHAGAMA ILIYOPO JIMBO LA PERAMIHO NI MOJA YA TAASISI ZA ELIMU ZILIZOJENGWA ILI KUBORESHA ELIMU PERAMIHO.
Imepewa jina la Janista Mhagama, mwanasiasa na kiongozi wa Tanzania, ambaye amewahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana, na Watu Wenye Ulemavu, na pia Mbunge wa Jimbo la Peramiho. Shule hii ni sehemu ya jitihada za Mbunge Jenista Mhagama katika kuhakikisha kwamba elimu inapatikana kwa urahisi …
Soma zaidi »Historia ya Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama na Mchango wake kwa Maendeleo ya Wangoni, Ruvuma, na Tanzania
Katika historia ya Tanzania, jina la Chifu Nkosi Mharule Zulu Gama lina nafasi ya kipekee, si tu kwa sababu ya uongozi wake wa kidesturi lakini pia kutokana na athari zake kwa jamii ya Wangoni na urithi wa kitamaduni katika mkoa wa Ruvuma. Chifu Nkosi Mharule, aliyekuwa mmoja wa viongozi wa …
Soma zaidi »Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu pamoja na Katibu Mkuu wa CHADEMA,John Mnyika wameshiriki kilele cha kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa la Kanisa Katoliki
Kongamano hilo la Kanisa Katoliki limefanyika leo Septemba 15 ,2024 kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam.
Soma zaidi »“Tukamate wajibu wetu tuliopewa na Mungu, wa Kukuza watoto wetu katika maadili mema”.@samiasuluhu99
Twende tukatunze Watoto wetu vile sisi tulivyotunzwa na Wazazi Wetu katika maadili mema.
Soma zaidi »Mbunge Mstaafu wa Ngorongoro Ahamia Msomela, Afurahishwa na Mazingira Rafiki Kwa Ufugaji na Kilimo..
Uamuzi wa Mbunge Mstaafu kuhamia Msomela unatokana na kutafuta fursa bora zaidi kwa ajili ya maendeleo ya kijamii na kiuchumi, ambapo mazingira ya eneo hilo yanampa nafasi nzuri ya kuendesha shughuli zake za kilimo na ufugaji kwa mafanikio zaidi. Pia, inaonesha mabadiliko yanayotokea katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, ambapo watu …
Soma zaidi »“Ni jukumu letu kama taifa kujenga upya mifumo ya kiuchumi na kijamii ili kuhakikisha kuwa tunajenga Tanzania yenye nguvu kwa vizazi vijavyo.” @dr_mpango
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Tunapaswa kuepuka migawanyiko na kuchochea maridhiano ya kitaifa ili tuwe na umoja na mshikamano wa kuijenga nchi yetu kwa pamoja. ” @SuluhuSamia
#KaziIemdelee#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu#SSH#CCM#KaziIendelee#Nchiyangukwanza#SisiniTanzania#matokeochanya
Soma zaidi »“Tusikubali Kuwa Tarumbeta za Watu Wasio Tutakia Mema”
“Tusikubali kuwa tarumbeta za Watu wasio tutakia mema, Maadili Yetu Mazuri Ya Kitanzania Lazima Tuyatunze, Lazima Tuyalinde” Makamu Wa Rais Wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania , Mhe . Dkt. Philip Isdor Mpango
Soma zaidi »