Tanzania

Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024.

Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024. pic.twitter.com/IU0kHqZhLe— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 12, 2024

Soma zaidi »

Mhe Kassim Majaliwa Akiweka Jiwe La Msingi La Hospitali Kaskazini Unguja

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”- Pangatupu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ujenzi wake umegharimu Tsh Bil. 6.7. Hii ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Soma zaidi »