Aidha, Katiba inasisitiza maadili na uzalendo. Malezi bora yanajumuisha kuwafundisha watoto maadili mema, heshima, na upendo kwa taifa lao. Kwa kuwalea watoto katika mazingira yenye maadili mema na kuwapatia elimu bora, tunawaandaa kuwa raia wema na wenye uzalendo wa kweli. Hii inasaidia kujenga taifa lenye umoja, amani, na maendeleo. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu …
Soma zaidi »“MKAWE WAADILIFU NA MKISHI KIAPO HIKI, KINA MAANA KUBWA SANA KATI YENU NA MUNGU NA WANANCHI.”
KIAPO; Ukila KIAPO… 1. MUNGU ANAKUSHUHUDIA! 2. MAMLAKA ZINAKISHUHUDIA! 3. WANANCHI WANAKUSHUHUDIA! 4. KIAPO UKIKIDHIHAKI, KITAKUPIGA! 🇹🇿Rais Dkt Samia akiwaasa viongozi kuhusu KIAPO walichoapa mbele yake.
Soma zaidi »FAIDA ZA SGR KWA UCHUMI WA TANZANIA, SEKTA YA USAFIRISHAJI, NA AJIRA.
SGR ina uwezo wa kubeba hadi tani 10,000 za mizigo kwa mara moja. Hii inamaanisha inaweza kusafirisha mizigo mikubwa kwa urahisi na ufanisi mkubwa. Ina kasi ya hadi kilomita 160 kwa saa kwa treni za abiria na kilomita 120 kwa saa kwa treni za mizigo. Kasi hii inafanya iwezekane kusafirisha …
Soma zaidi »SGR; MRADI WA KIMKAKATI WA KUBORESHA UCHUMI WA TANZANIA NA KUSUKUMA MAENDELEO
SGR itapunguza muda wa safari kwa abiria kati ya miji mikubwa kama Dar es Salaam na Mwanza, hivyo kuboresha urahisi wa kusafiri na kuhamasisha biashara na utalii. Kupunguza Gharama za Usafirishaji Reli hii itawezesha usafirishaji wa mizigo kwa haraka na kwa gharama nafuu ikilinganishwa na barabara. Hii itasaidia wafanyabiashara kupunguza …
Soma zaidi »4R: FALSAFA ZA MARIDHIANO, USTAHIMILIVU, MABADILIKO, NA KUJENGA UPYA KWA MAENDELEO ENDELEVU YA TAIFA
(4R) Falsafa hizi nne zinalenga kuimarisha umoja, kuleta ustawi na maendeleo ya kudumu kwa taifa, na kuhakikisha kuwa serikali inawajibika kwa wananchi wake. 1.Maridhiano (Reconciliation) Hii inahusu juhudi za kuleta amani na umoja katika jamii kwa kusuluhisha tofauti na migogoro iliyopo. Lengo ni kuimarisha mshikamano wa kitaifa na kuhakikisha kuwa …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa katika Uwanja wa Mashujaa uliopo Mji wa Serikali Mtumba Mkoani Dodoma
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Katika siku hii ya Mashujaa, tunawakumbuka na kuwaenzi wale wote waliotangulia mbele kwa ajili ya Taifa letu. Heri ya Siku ya Mashujaa kwa Watanzania wote!
Tujivunie historia yetu, tuendeleze uzalendo, na tuijenge Tanzania imara kwa pamoja. #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
TANZANIA YASHIRIKI MAANDALIZI YA MKUTANO WA KUJADILI MAENDELEO ENDELEVU
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha, Bi. Amina Khamis Shaaban (wakwanza kulia), akifuatilia majadiliano mbalimbali wakati wa Kikao cha Kwanza cha Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ugharamiaji kwa Maendeleo Endelevu (Fouth International Conference on Financing for Deveoplopment – FfD4, kinachoendelea kufanyika hadi 26 Julai 2024 …
Soma zaidi »