Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati isiyo safi. Agizo hilo limetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo (Mei 8, 2024) Jijini Dar es salaam …
Soma zaidi »HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI MUUNGANO NA MAZINGIRA DKT SELEMAN JAFO UZINDUZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA
UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034 Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia. Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie …
Soma zaidi »HOTUBA YA SPIKA WA BUNGE TANZANIA DKT TULIA AKSON UZINDUZI WA MKAKATI WA NISHATI SAFI KWA WOTE
UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034 Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia. Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie …
Soma zaidi »HOTUBA YA NAIBU WAZIRI MKUU DKT DOTO BITEKO UZINDUZI MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WOTE
UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034 Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia. Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie …
Soma zaidi »HOTUBA YA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN UZINDUZI WA MKAKATI WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA KWA WOTE
UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034 Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia. Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie …
Soma zaidi »TUIJENGE TANZANIA YETU
#Tanroads #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #Sisinitanzania #Matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya
Soma zaidi »Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 07, 2024 ameongoza Mkutano wa kazi wa Mawaziri na Naibu Mawaziri uliofanyika kwenye ukumbi wa Hazina, jijini Dodoma.
Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko.
Soma zaidi »Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza na Mwenyekiti wa Kamati Tendaji ya Taasisi ya Huduma za Afya Aga Khan, Mwana Mfalme Bi. Zahra Aga Khan
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Siku ya Wafanyakazi Duniani ambayo huadhimishwa kila mwaka ni siku maalum kwa ajili ya wafanyakazi kutafakari na kutathmini namna walivyotekeleza malengo waliyojiwekea katika mwaka husika.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kwa ajili ya maandimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (MEI MOSI)
Arusha Tanzania Mei Mosi, 2024
Soma zaidi »