WIZARA YA HABARI NA MAWASILIANO YAZINDUA MFUMO WENYE KUHIFADHI NA KUTUNZA TAARIFA BINAFSI
USALAMA WA TAARIFA BINAFSI MTANDAONI
UZINDUZI WA TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI ZA KIMTANDAO – MATUKIO KATIKA PICHA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan katika Matukio tofautitofauti wakati wa Uzinduzi wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) Hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC Posta Dar es salaam leo April 03,2024.
Soma zaidi »TUME YA ULINZI WA TAARIFA BINAFSI, KULINDA NA KUSIMAMIA FARAGHA YA TAARIFA ZA KIBINAFSI KATIKA JAMII.
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ni muundo wa kisheria uliowekwa na serikali kwa lengo la kusimamia na kulinda taarifa za kibinafsi za watu katika jamii. Hii inaonyesha kutambua umuhimu wa faragha na haki za kibinafsi za watu katika enzi ya kidijitali ambapo data zetu zinahifadhiwa na kusindikwa kwa kiwango …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AKIPOKEA RIPOTI YA (CAG) NA TAARIFA YA UTENDAJI KAZI WA (TAKUKURU) KWA MWAKA 2022/2023
“Ripoti hizi zilizotolewa hapa zinasaidia katika maboresho ya serikali kwa watumishi wa umma kwasababu ripoti zilizotolewa hapa tutakwenda kuangalia kwenye dosari na kufanya marekebisho na mwakani pengine hizi hazitajirudia na tutakuwa tumesogea. Tunawashukuru sana CAG na TAKUKURU kwakuwa kazi hii inaimarisha utendaji ndani ya mashirika ya umma na kupunguza hasara…itafika …
Soma zaidi »TPA NA EACOP WAFIKIA MAKUBALIANO KUIMARISHA BANDARI YA TANGA KWA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA AFRIKA MASHARIKI
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia mikataba mitatu na East African Crude Oil Pipeline ( EACOP) Limited kwa ajili ya kuridhia kutumika kwa Bandari ya Tanga katika kutekeleza mradi wa kimkakati wa ujenzi wa Bomba la Mafuta ghafi la Afrika Mashariki kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani, Tanga Tanzania. …
Soma zaidi »NDEGE MPYA AINA YA BOENG 737 MAX 9, KUONGEZA UFANISI KATIKA SEKTA YA USAFIRISHAJI WA ANGA- TANZANIA
Uwezo wa Abiria Boeing 737 MAX 9 ina uwezo wa kubeba abiria kati ya 178 hadi 220, ingawa idadi halisi inaweza kutofautiana kulingana na usanidi wa ndege. Ufanisi wa Mafuta Moja ya sifa kuu za Boeing 737 MAX 9 ni ufanisi wake wa mafuta. Ndege hii hutumia teknolojia ya hali …
Soma zaidi »