Msalaba Mwekundu, ambao ni sehemu ya Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, ni shirika la kibinadamu linalojulikana duniani kote kwa juhudi zake za kutoa msaada na ulinzi kwa watu walioathirika na majanga kama vile vita, maafa ya asili, na milipuko ya magonjwa. Lengo kuu la Msalaba Mwekundu …
Soma zaidi »Mitazamo ya Uongozi ya Mhe. Ummy Ally Mwalimu katika Sekta za Afya, Maendeleo ya Jamii, na Haki za Watoto
Ummy Ally Mwalimu ameonyesha mitazamo ya uongozi yenye mwelekeo wa kujali maendeleo na ustawi katika sekta mbalimbali alizoshughulikia. baadhi ya mitazamo ya kiuongozi aliyonayo katika sekta alizopewa dhamana ya kuzisimamia ni Pamoja na ifuatayo. Katika sekta ya afya, Ummy Mwalimu amejikita katika kuboresha huduma za afya na ustawi wa jamii. …
Soma zaidi »HUDUMA ZA AFYA MJINI BABATI ZINAZIDI KUBORESHWA.
Ununuzi wa Ambulance na Magari ya Chanjo:Kununua ambulance 395 na magari ya chanjo 214 ni hatua muhimu katika kuboresha huduma za dharura na afya ya umma. #HayaNiMatokeoChanya+ #KatibaNiMaridhiano #UchaguziNiMashindano #RaisSamiaChapaKazi+ #KaziInaendelea
Taarifa Kwa Umma Kutoka Kwa Ofisi Ya Msajili Wa Baraza La Uuguzi Na Ukunga Tanzania
Mapambano Dhidi Ya Red Eyes
Mhe Kassim Majaliwa Akiweka Jiwe La Msingi La Hospitali Kaskazini Unguja
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 ameweka jiwe la msingi la Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini “B”- Pangatupu, Mkoa wa Kaskazini Unguja, ujenzi wake umegharimu Tsh Bil. 6.7. Hii ni sehemu ya shamrashamra za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Soma zaidi »VIFAA TIBA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA, MJINI MAGHARIBI LUMUMBA ZANZIBAR
Ufunguzi rasmi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Januari, 2024. Ongezeko la vifaa tiba bora na vyakisasa katika Hospitali hii kutachangia Nini? Kuboresha Huduma za Afya Ufunguzi …
Soma zaidi »