Na Munir Shemweta, WANMM KIGOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Maafisa Mipango Miji nchini kuzisaidia wilaya kuhakikisha maeneo yote ya vijiji yanayochipukia kuwa miji anapelekewa ili ayatangaze kuwa maeneo ya Mipango Miji. Lukuvi alisema hayo jana wakati akizindua ofisi ya ardhi mkoa wa Kigoma …
Soma zaidi »MAKAMISHNA WA ARDHI WATAKIWA KUKUTANA NA TAASISI ZINAZODAIWA KODI YA PANGO LA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM SUMBAWANGA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewaagiza Makamishna Wasaidizi wa ardhi katika ofisi za mikoa kukaa na taasisi za serikali zinazodaiwa kodi ya pango la ardhi kuangalia namna bora ya kulipa madeni wanayodaiwa. Dkt Mabula alitoa agizo hilo jana …
Soma zaidi »HALMASHAURI ZATAKIWA KUTUMIA RAMANI ZINAZOTOLEWA NA WIZARA YA ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM SONGWE Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezitaka halmashauri nchini kutumia ramani zilizoandaliwa na kutolewa na Wizara ya Ardhi kupitia idara yake ya Upimaji na Ramani kwa kuwa ndiyo yenye jukumu la kutafsiri mipaka ya nchi. Akizungumza wakati akimkabidhi mkuu …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAGIZA WASAJILI WASAIDIZI WA HATI OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA KUTOA ELIMU KWA WANANCHI
Na Munir Shemweta, WANMM SINGIDA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka Wasajili WasaidIzi wa Hati kwenye Ofisi za Ardhi za Mikoa kutoa elimu kwa wananchi kuhusiana na faida ya ofisi ya Msajili wa Hati. Akizungumza wakati wa kuzindua ofisi ya ardhi ya mkoa wa Singida …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AZITAKA OFISI ZA HALMASHAURI NA WILAYA NCHINI KUZITUMIA OFISI ZA ARDHI ZA MIKOA
Na Munir Shemweta, WANMM KILIMANJARO Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amelipongeza Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kwa kuweza kukamilisha ujenzi wa miradi ya jengo la ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Hai lililopo Bomang’ombe na ofisi pamoja na nyumba za Watumishi wa …
Soma zaidi »NHC YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAUZO YA VIWANJA VYAKE MRADI WA SAFARI CITY ARUSHA
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akizungumza na watumishi wa Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Watendaji wa sekta ya ardhi mkoa wa Arusha (hawapo pichani) wakati wa ziara ya kukagua miradi inayoendeshwa na NHC kwenye mkoa wa Arusha jana. Wa pili kulia …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA UPIMAJI MAENEO YA MIGODI KUEPUKA MIGOGORO
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akiingia kukagua jengo la Ofisi ya Wakala wa Huduma za Misitu (TFS) Biharamulo mkoa wa Geita lililojengwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) wakati wa ziara yake katika mkoa wa Geita mwishoni mwa wiki. Na Munir Shemwta, …
Soma zaidi »HALMASHAURI ZATAKIWA KUWA NA OPERESHENI MAALUM YA UPIMAJI ARDHI
Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Naibu Waziri wa Ardhi nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameziagiza halmashauri nchini kufanya operesheni maalum ya kupima na kumilikisha ardhi ili kuwawezesha wananchi kuwa na hati miliki kwenye maeneo wanayoyamiliki. Dkt Mabula alitoa maagizo hayo jana kwa nyakati tofauti katika wilaya za …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AKERWA MSHAURI ELEKEZI KUKWAMISHA MRADI HOSPITALI YA RUFAA MARA
Na Munir Shemweta, WANMM MUSOMA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amesikitishwa na hatua ya kusimamisha ujenzi wa miundombinu kwenye mradi wa kimkakati wa Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Mara iliyopo eneo la Kwangwa Manispaa ya Musoma mkoa wa Mara uliofanywa na Mshauri …
Soma zaidi »OFISI YA ARDHI RUKWA KUTOA HUDUMA KWA WELEDI NA HAKI
Kamishna Msaidizi wa Ardhi Mkoa wa Rukwa, Swagile Msananga amewatoa hofu wananchi wa Mkoa huo kuwa, hawatakuwa na haja ya kusafiri umbali mrefu kufuata huduma za sekta ya ardhi katika ofisi za kanda zilizopo mkoa wa Mbeya baada ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi nchini, kuanzisha ofisi …
Soma zaidi »