Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study). Kipimo hicho ambacho hakijawahi kufanyika katika Hospitali ya Umma hapa nchini kipimo hicho kinaonyesha vyumba, milango, mishipa ya damu na misuli kwa ufasaha mkubwa.
Soma zaidi »WAGONJWA MOI KUFANYIWA UPASUAJI BILA NUSU KAPUTI
Taasisi ya tiba ya Mifupa MOI imeanzisha huduma ya kutoa dawa za usingizi (Reginal block Anaesthesia) ambapo eneo husika linalofanyiwa upasuaji ndilo litakolo husika kwa kuzuia mishipa ya fahamu na hivyo mgonjwa kuwa macho na kuzungumza au hata kusoma gazeti Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface …
Soma zaidi »MAABARA YA VINASABA VYA WANYAMA KUANZISHWA ARUSHA
Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Kanda ya Kaskazini – Arusha, ipo mbioni kuanzisha Maabara maalum Vinasaba vya wanyama ambayo itasaidia kutambua asili ya mnyama ikiwemo wanyama waliopo ama waliokufa. Akizungumza wakati wa ziara maalum ya Maafisa Uhusiano waliotembelea Kanda hiyo leo, Meneja Kanda ya Kaskazini Christopher Anyango …
Soma zaidi »