TAASISI YA (MOI) YAFANYA UCHUNGUZI WA KIBOBEZI WA MOYO KWA KUTUMIA KIPIMO CHA MRI (Cardiac MRI Contrasted study).

TAASISI YA MIFUPA (MOI)
Madaktari na wataalumu wengine wa MOI wakiangalia namna kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study) kinavyofanya kazi.
MOI
Madaktari na wataalumu wengine wa MOI wakiangalia namna kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study) kinavyofanya kazi.

Taasisi ya Mifupa (MOI) kwa mara ya kwanza imefanya uchunguzi wa kibobezi wa moyo kwa kutumia kipimo cha MRI (Cardiac MRI Contrasted study). Kipimo hicho ambacho hakijawahi kufanyika katika Hospitali ya Umma hapa nchini kipimo hicho kinaonyesha vyumba, milango, mishipa ya damu na misuli kwa ufasaha mkubwa.

Ad

Unaweza kuangalia pia

ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *