Maktaba Kiungo: Makao Makuu Dodoma

SERIKALI YAJIPANGA KUUNGANISHA GESI ASILIA MAJUMBANI NCHI NZIMA

Serikali imesema Mradi wa kuunganisha gesi asilia majumbani ni endelevu na utafanyika katika mikoa yote nchi nzima awamu kwa awamu. Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, alibainisha hayo jana, Mei 25, 2019 jijini Dodoma katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) ambayo ililenga kuwajengea …

Soma zaidi »

KIPAUMBELE CHA WIZARA NI KUPELEKA NISHATI KWA WANANCHI

Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewaeleza watumishi wa Wizara ya Nishati kuwa kipaumbele cha Wizara ni kupeleka nishati kwa wananchi ikiwamo ya Umeme na Gesi hivyo amewaasa kushirikiana kwa pamoja na kufanya kazi kwa weledi. Dkt. Kalemani alitoa kauli hiyo wakati akifungua mkutano wa Baraza la wafanyakazi wa Wizara …

Soma zaidi »

WADAU WA KUANDAA MPANGO KAZI WA PILI WA KITAIFA WA HAKI ZA BINADAMU 2019-2023 WAKUTANA

Wadau wa kuandaa Mpango Kazi wa Pili wa Kitaifa wa Haki za Binadamu 2019-2023 wanakutana kama kamati kupitia maoni ya mtaalamu mshauri kwa ajili ya kuandaa mpango huo. Kikao hicho kinafanyika mjini Singida kimefunguliwa na Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome ambaye amewataka wadau hao wahakikishe …

Soma zaidi »