Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI PAMOJA NA RAIS WA NAMIBIA WAZINDUA MTAA WA JULIUS K. NYERERE KATIKA JIJI LA WINDHOEK NCHINI NAMIBIA
VIJANA WA AFRIKA MASHARIKI WATAKIWA KUISHI MAONO YA MWL.JULIUS KAMBARAGE NYERERE
Vijana wa Nchi Jumuiya za Afrika Mashariki wametakiwa kumuenzi Hayati Baba wa Taifa la Tanzania Mwl. Julius Kambarage Nyerere kwa kuishi maono yake na falsafa zake katika kujiletea maendeleo ya kijamii,kisiasa na kiuchumi kwasababu Mwalimu Nyerere aliamini katika ujenzi na ustawi wa Taifa kupitia Vijana na alihamasisha mara zote Vijana …
Soma zaidi »NYERERE DAY: RAIS MAGUFULI NA MKEWE WAMTEMBELEA MAMA MARIA
Katika kuazimisha kumbukumbu ya kifo cha Baba wa Taifa kilichotokea tarehe 14 Oktoba 1999, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wameshiriki Ibada ya Misa Takatifu maalum ya kumuombea Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere katika kanisa la St. Peter …
Soma zaidi »