Wananchi washangilia, waishukuru Serikali kwa kuwasogezea huduma CHANGAMOTO ya upatikanaji wa huduma ya maji safi na salama iliyokuwa inawakabili wananchi wa vijiji vya Nandagala ‘B’ na Ingawali wilayani Ruangwa imekuwa historia baada ya Ubalozi wa Uturiki kupitia taasisi yake ya Diyanet kuwachimbia visima virefu. Visima hivyo viwili vimekabidhiwa kwa Waziri …
Soma zaidi »WABUNGE WA LINDI NA MTWARA WATOA HOJA KATIKA WARSHA KUHUSU MRADI WA GESI ASILIA ILIYOSINDIKWA (LNG)
Hoja 1. Fidia kwa wananchi Ufafanuzi wa Serikali Fidia ni haki, ni stahiki na ni jambo la kisheria. Kama Serikali, hatuwezi kulipindisha. Tunachofanya ni kujihakikishia kwamba watakaofidiwa ni wale tu wanaostahili kweli. Kutokana na umuhimu wa jambo hili, lazima lifanyike kwa umakini sana. Ipo hatari ya kulipa haraka-haraka, kisha wakajitokeza …
Soma zaidi »#LIVE : UFUNGUZI WA BARABARA YA MANGAKA NA NAKAPANYA TUNDURU ENEO LA NANYUMBU MTWARA
MIPANGO YA SERIKALI KUHUSU GESI YA KUSINI IKO PALEPALE – MGALU
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amewataka watanzania kuondoa shaka kuhusu mipango ya serikali kufuatia gesi iliyogunduliwa mikoa ya kusini, kwani haijabadilika na inaendelea kutekelezwa. Aliyasema hayo jana Februari 27, 2019 kijijini Ntauna, Kata ya Rondo, Lindi Vijijini, alipokuwa akihitimisha ziara yake ya siku nne mkoani Lindi ambapo alikagua utekelezaji …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI NISHATI AKERWA NA MKANDARASI MBABAISHAJI
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amekemea vikali utendaji kazi mbovu wa Mkandarasi State Grid, anayetekeleza mradi wa umeme vijijini Mkoa wa Lindi, kutokana na kufanya kazi chini ya kiwango na kutokamilisha wigo wake kwa wakati kama mkataba unavyoelekeza. Akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nangambi Naipuli, Kata ya Mingumbi, …
Soma zaidi »WAKUU WA MIKOA WOTE WAKABIDHIWA AWAMU YA PILI YA VITAMBULISHO VYA WAFANYABISHARA NDOGONDOGO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
WAZIRI MPANGO ATOA TAARIFA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »NACHINGWEA YATANGAZA UZINDUZI WA MSIMU WA UUZAJI KOROSHO 2018/2019
Pamoja na uzinduzi huo, Mhe. Rukia ameendelea kuunga mkono wito wa serikali kwa kukaribisha wawekezaji wa viwanda vya kubangua korosho wilaya humo ili wakulima wanufaike zaidi na kuongeza thamani ya zao hilo sambamba ya ajira kwa wakulima na watakao ajiriwa katika viwanda vhivyo. Tarehe ya Uzinduzi 13/10/2018 siku ya Jumamosi …
Soma zaidi »