Rais Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na Mwenyekiti wa kampuni ya Bharti Airtel Bw. Sunil Mittal, Ikulu Jijini Dar es Salaam ambapo wamezungumzia maendeleo ya mazungumzo ya umiliki wa hisa za kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania. Baada ya mazungumzo hayo Bw. Sunil Mittal amesema kampuni yake imekubali …
Soma zaidi »STEMPU ZA KIELEKTRONIKI ZA USHURU WA BIDHAA KUANZA KUTUMIKA JANUARI, 2019
Bidhaa zinazostahili kutozwa ushuru wa bidhaa kama vile sigara, mvinyo, pombe kali pamoja na bia zitaanza kutumia rasmi stempu za kielektroniki Januari, 2019 katika Mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Kilimanjaro, Mwanza, Shinyanga na Mbeya ambapo mfumo wa stempu hizo umeshafungwa kwenye mitambo ya uzalishaji. Akizungumza mara baada ya kumaliza …
Soma zaidi »WAZIRI MPANGO ATOA TAARIFA HALI YA UCHUMI NA UTEKELEZAJI WA BAJETI KUU YA SERIKALI 2018/2019
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO HALI YA UCHUMI WA TAIFA NA UTEKELEZAJI WA BAJETI YA SERIKALI 30 Desemba 2018, Dar es salaam. Pato la Taifa (kwa bei za 2007) Uchumi wa Taifa umeendelea kuwa imara, ukikua kwa 7.1% (2017) ikilinganishwa na wastani wa ukuaji wa …
Soma zaidi »LIVE; KIKAO CHA MHE. RAIS , MAWAZIRI, WAKUU WA MIKOA NA UONGOZI WA MAMLAKA YA MAPATO NCHINI.
AU
Soma zaidi »UPANUZI WA BANDARI GATI NAMBA MOJA WAFIKIA ASILIMIA 100
Upanuzi wa bandari ya Dar es Salaam umefikia hatua nzuri baada ya kukamilka kwa upanuzi wa gati namba moja kwa asilimia 100 huku meli ya kwanza ikitarajiwa kutia nanga wiki moja ijayo ikishuhudiwa na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano. Hayo yameelezwa jana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi …
Soma zaidi »InfoChanyA+ VIWANDA 3,000 VINAHUDUMIWA NA SEKTA YA MISITU
InfoChanyA+ UZALISHAJI WA ASALI WAONGEZEKA TANZANIA.
MATAIFA ZAIDI YA 75 YASHIRIKI KONGAMANO LA MAFUTA NA GESI
Serikali imesema imejipanga vema kuhakikisha sekta ya nishati na hasa ya mafuta na gesi inawanufaisha Watanzania wote na kwamba nchi imefanya maandalizi makubwa kwa ajili ya kunufaika na sekta hiyo. Hayo yamesemwa jijini Dar es Salaam na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais – Mazingira …
Soma zaidi »