Hoja 1. Fidia kwa wananchi Ufafanuzi wa Serikali Fidia ni haki, ni stahiki na ni jambo la kisheria. Kama Serikali, hatuwezi kulipindisha. Tunachofanya ni kujihakikishia kwamba watakaofidiwa ni wale tu wanaostahili kweli. Kutokana na umuhimu wa jambo hili, lazima lifanyike kwa umakini sana. Ipo hatari ya kulipa haraka-haraka, kisha wakajitokeza …
Soma zaidi »LIVE :CHUO CHA KITANGALI MTWARA – RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ANAENDELEA NA ZIARA
LIVE CATCH UP: NEWALA MTWARA – RAIS DKT. JOHN MAGUFULI ANAENDELEA NA ZIARA
https://youtu.be/D26WEET6ijM
Soma zaidi »LIVE CATCH UP : RAIS MAGUFULI AKISIKILIZA KERO KISHA KUHUTUBIA WANANCHI WA NANYAMBA
LIVE: UWEKAJI JIWE LA MSINGI KIWANDA CHA KUBANGUA KOROSHO MTWARA
LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA UWEKAJI JIWE LA MSINGI LA UPANUZI WA UWANJA WA NDEGE MTWARA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Mtwara . Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi »VIJANA WAANZA KUITIKIA WITO WA KUCHAPA KAZI KIZALENDO
Vijana wa kijiji cha Chihwindi kata ya Mtumachi, Newala mkoani Mtwara wamefyeka uwanja wa kijiji hicho kwaajili ya ujenzi wa kiwanja hicho cha timu ya kijiji maarufu kwa jina la POCHI NENE. Akizungumzia tukio hilo Ndugu Musa Shaibu, amesema kuwa wamefanya hivyo kwa lengo la kuhamasisha vijana kujitolea kufanya kazi …
Soma zaidi »MADAKTARI WA MUHIMBILI WAHUDUMIA WAGONJWA ZAIDI YA 1,476 LIGULA
Madaktari Bingwa wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na watalaam wengine wa afya leo wamehitimisha utoaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Rufaa mkoa wa Mtwara -Ligula- kwa kuhudumia wagonjwa 1476. Kati ya hao, upasuaji mkubwa umefanyika kwa wagonjwa 54 na mdogo kwa wagonjwa 81. Baadhi ya upasuaji mkubwa …
Soma zaidi »