Hatimaye historia imeandikwa nchini Tanzania kwa kusainiwa kwa mkataba wa ujenzi wa daraja la Kigongo Busisi katika Ziwa Victoria mkoani Mwanza lenye urefu wa kilometa 3.2, ambao utagharimu jumla ya fedha za kitanzania Bilioni 592. Akizungumza Jijini Dar es Salaam katika hafla ya utiaji saini mkataba wa ujenzi wa daraja …
Soma zaidi »MUONEKANO WA UJENZI WA MIUNDOMBINU WEZESHI KWENYE UJENZI WA NEW SELANDER BRIDGE
Daraja hilo litajengwa kwa miezi 36 sawa na miaka mitatu, likiwa na urefu wa Kilomita 6.23 huku Kilomita 1.4 zikipita juu ya Bahari. Daraja litalopambwa na nguzo za zege mithili ya viganja vya mikono ya binadamu litaunganisha barabara ya Barack Obama na eneo la Coco Beach katika makutano ya barabara …
Soma zaidi »