Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli awaapisha Viongozi aliowateua hivi karibuni. Hafla inayofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam leo Jumapili Oktoba 20, 2019
Soma zaidi »LIVE: RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA MASASI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 16 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Nachingwea na Masasi
Soma zaidi »LIVE: RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA RUANGWA MKOA WA LINDI
LIVE CATCH UP: RAIS DKT. JOHN MAGUFULI AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA JIMBO LA MTAMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli ambaye ameongozana na Mkewe Mama Janeth Magufuli tarehe 15 Oktoba, 2019 anaendelea na ziara yake Mkoani Lindi ambapo atazindua barabara za Mji wa Ruangwa, ataweka jiwe la msingi la ujenzi wa ghala la mazao la Kijiji cha Lipande Wilayani …
Soma zaidi »LIVE:RAIS MAGUFULI KATIKA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU, KUMBUKUMBU YA BABA WA TAIFA MWALIMU JK NYERERE MKOANI LINDI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli anahudhuria maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru, Kumbukumbu ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere pamoja na Wiki ya Vijana Kitaifa katika Uwanja wa Ilulu Mkoani Lindi
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA STAND YA MABASI YA MIZENGO PINDA MPANDA MKOANI KATAVI
LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI KATIKA MKUTANO WA HADHARA MKOANI KATAVI
LIVE: RAIS MAGUFULI AKIWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA NJIA YA KUSAFIRISHA UMEME KUTOKA TABORA HADI MPANDA KW 132 ENEO LA MISUNKUMIRO – MPANDA
RAIS MAGUFULI ATAKA WATANZANIA KUJIVUNIA MAFANIKIO YA NCHI YAO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema Watanzania wana kila sababu ya kutangaza na kujivunia mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi kifupi cha miaka minne iliyopita na ameahidi kuendelea kusimamia rasilimali za Taifa ili ziwanufaishe zaidi. Mhe. Rais Magufuli ameyasema hayo leo tarehe 10 Oktoba, …
Soma zaidi »