Maktaba ya Mwaka: 2018

Live: Rais Magufuli Atembelea Shule Aliyosoma Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere – Tarehe 5 Septemba 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi Leo Tarehe 5 Septemba 2018. Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya …

Soma zaidi »

Prof. Kabudi: RAIS MAGUFULI ATAKAMILISHA MIRADI YOTE ALIYOTAMANI KUIFANYA BABA WA TAIFA MWL. NYERERE!

“Na kazi ya Awamu hii ya tano, ni kukamilisha mambo yote ambayo mwalimu alitamani yafanyike lakini alihujumiwa yasikamilike. Yepi hayo? Moja; Ni kuhamisha Makao Makuu kwenda Dodoma…” “Nendeni msome hansadi za Registrative council mwaka 1959.. Waingereza wanazungumzia ..wakoloni wale..watawala wale.. kuhamishia makao kwenda dodoma. Shida ilikuwa ni fedha! Nendeni msome …

Soma zaidi »

SERIKALI YA AWAMU YA TANO; Miaka mitatu madarakani

• Imejenga hostel bora na za bei nafuu zinazonufaisha wanafunzi zaidi ya 4,000 katika Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) ” Kabla ya hostel hivi kujengwa, ilikuwa wanafunzi wanapanga vyumba mitaani.. Pia wengine wanapata vyumba ambavyo viko mbali na chuo ambapo pia inawawia vigumu kwenye usafiri ifikapo asubuhi.. ile kuhangaika …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR AKIZUNGUMZA KATIKA UZIDUNZI WA OFISI MPYA ZA WAKALA WA MATUKIO YA KIJAMII NA MFUMO WA KIDIGITALI WA USAJILI WA MATUKIO YA KIJAMII

Rais wa Zanzibar ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein amesema kuwa takwimu sahihi ni jambo muhimu kwa serikali katika kupanga maendeleo ya watu wake. Amesema hayo katika uzinduzi wa mfumo mpya wa kidigitali wa usajili wa matukio ya kijamii, huko Dunga Wilaya ya Kati …

Soma zaidi »