Live: Rais Magufuli Atembelea Shule Aliyosoma Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere – Tarehe 5 Septemba 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli Anazungumza na Wananchi Leo Tarehe 5 Septemba 2018.

Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

Ad

Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya msingi Mwisenge mjini Musoma aliyosoma Baba wa Taifa , Mwl Julius Nyerere.

Ad

Unaweza kuangalia pia

RAIS MAGUFULI AIPONGEZA MAHAKAMA NA WADAU KWA MAFANIKIO MAKUBWA

Rais  Dkt. John  Magufuli ameipongeza Mahakama na wadau wake kwa hatua kubwa za kimaendeleo zilizopigwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.