Maktaba ya Kila Siku: January 26, 2019

WIZARA YA MADINI YAANZA UTEKELEZAJI WA AGIZO LA RAIS MAGUFULI, KUANZISHA MASOKO YA MADINI

Wizara ya Madini imeanza utekelezaji wa Maagizo mbalimbali yaliyotolewana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt John Pombe Magufuli yenye lengo la kuboresha mchango wa Sekta ya Madini. Hayo yamesemwa na Waziri wa madini Mhe Doto Mashaka Biteko leo tarehe 26 Januari 2019 wakati akitoa taarifa ya wizara …

Soma zaidi »

MAGEREZA KUMI (10) YA KIMKAKATI KUZALISHA CHAKULA CHA WAFUNGWA, GEREZA SONGWE LIKIWEMO

Kamishina Jenerali wa Magereza nchini, Phaustine Kasike amesema kuwa Jeshi la Magereza limeanza utekelezaji wa mpango wa miaka mitano wa kuelekea kujitosheleza kwa chakula cha wafungwa magerezani katika magereza kumi (10) ya kimkakati likiwemo Gereza Songwe, lililopo Mkoani Mbeya ambalo limelima hekari 750 za zao la mahindi. Akizungumza na wanahabari …

Soma zaidi »