Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima wa Karafuu Zanzibar Ndg.Kassim Khamis Rashid, akichangia Mada, wakati wa Mkutano huo wa Taifa wa Baraza la Zanzibar, uliofanyika Ikulu Zanzibar, chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani.

RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AZUNGUMZA NA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA ZANZIBAR IKULU

Rais wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar, akifungua Mkutano wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar katika ukumbi wa mkutano Ikulu Zanzibar, kushoto Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na kulia Katibu Mkuu Kiongozi na Katibu Mkuu wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Abdulhamid Yahya Mzee.
Waziri wa Fedha naMipango Zanzibar Dkt.
Waziri wa Fedha naMipango Zanzibar Dkt. Khalid Salum Mohammed akichangia wakati wa mkutano huo wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar,uliofanyika Ikulu Zanzibar, kulia Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Mhe. Balozi Amina Salum Ali na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Wenyeviwanda na Wakulima Zanzibar, Ndg Tofiq Salim Turky, akichangia wakati wa Mkutano huo wa Baraza la Taifa la Biashara Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar chini ya Mwenyekiti wa ZNBC Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZATI Ndg. Seif Masoud Miskry
Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZATI Ndg. Seif Masoud Miskry,akichanga Mada wakati wa mkutano wa Taifa wa Baraza la Biashara Zanzibar uliofanyika Ikulu Zanzichibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, hayupo pichani, umefanyika leo
SISI-NI-TANZANIA-MPYA---224
Katibu wa Baraza la Vijana Ndg. Khamis Faraj, akiwasilisha Mada kuhusiana na Fursaza Ajira kwa Vijana za Kiuchumi, wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Mkutano Ikulu Zanzibar.
Ad

Unaweza kuangalia pia

ZANZIBAR NA ANGOLA KUSHIRIKIANA KWENYE SEKTA YA UTALII

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameupongeza uwamuzi …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *