Watalii zaidi ya 450 kutoka Israel wamewasili nchini mwezi Desemba 2019 kwa ajili ya tembelea vivutio vya kitalii vilivyoko kaskazini mwa Tanzania. Watalii hao wamekuja nchini kwa kutumia ndege binafsi na za kawaida. Kundi la kwanza la watalii 150 liliwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) tarehe 21 Desemba …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: December 25, 2019
UUNGANISHAJI UMEME VIJIJINI UENDE SAMBAMBA NA IDADI KUBWA YA KUWAWASHIA WATEJA
Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu, amewaagiza Wakandarasi wanaotekeleza Mradi wa Usambazaji Umeme Vijijini(REA) pamoja na Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO)kuwa kasi ya kuunganisha umeme Vijijini iende sambamba na kasi ya kuwawashia Umeme wateja katika Nyumba zao. Mgalu alisema hayo kwa nyakati tofauti alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya utekelezaji wa …
Soma zaidi »MINADA YA FORODHA SASA KUFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imetangaza kusitisha minada ya hadhara ya forodha iliyokuwa ikifanyika hapo awali na badala yake minada hiyo itakuwa ikifanyika kwa njia ya mtandao kupitia Tovuti ya TRA ambayo ni www.tra.go.tz. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Kamishna Mkuu wa Mamlaka hiyo Dkt. …
Soma zaidi »