Maktaba ya Kila Siku: December 8, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AWEKA MAWE YA MSINGI MIRADI YA UJENZI WA MELI MPYA YA M.V MWANZA (Hapa Kazi Tu), CHELEZO, PAMOJA NA UKARABATI WA M.V VICTORIA NA M.V BUTIAMA KATIKA ZIWA VICTORIA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 08 Desemba, 2019 ameweka jiwe la msingi katika miradi ya ujenzi wa meli mpya ya MV Mwanza Hapa Kazi Tu, Chelezo na ukarabati wa meli za MV Victoria na MV Butiama katika Ziwa Victoria. Sherehe za uwekaji jiwe la msingi katika miradi hiyo zimefanyika …

Soma zaidi »

TRA YANG’ARA TUZO ZA NBAA, YAPATA USHINDI WA JUMLA

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeshinda tuzo mbili ikiwemo mshindi wa jumla katika uandaaji bora wa taarifa za hesabu mwaka 2018 kwa kufuata viwango vya Kimataifa vya Uandaaji wa Hesabu katika Taasisi za Umma yaani mfumo wa IPSASs. Katika hafla ya utoaji wa tuzo hizo iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano …

Soma zaidi »