Maktaba ya Kila Siku: December 27, 2019

MAMLAKA YA USIMAMIZI WA BANDARI YATUMIA SHILINGI BILIONI 20.1 UJENZI WA MELI TATU ZIWA NYASA, IMO MELI MPYA YA ABIRIA,MIZIGO

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii Meneja wa Bandazi za Ziwa Nyasa Abedi Gallus, amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) kuna miradi mikubwa minne inayoendelea kutekelezwa katika mwaka wa fedha wa 2019/2019 ukiwemo mradi ujenzi wa meli katika Ziwa Nyasa ambao umegharimu Sh.bilioni 20.1 ikiwa ni mkakati wa …

Soma zaidi »

BANDARI YA KIWIRA LANGO KUU LA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KATIKA ZIWA NYASA – MENEJA ABEDI GALLUS

Na Said Mwishehe, Michuzi Globu ya jamii Imeelezwa kuwa Bandari ya Kiwira ni lango kuu la usafirishaji wa mizigo katika Ziwa Nyasa ambapo asilimia zaidi ya 90 ya shehena zinazohudumiwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) katika ziwa hilo hupitia katika bandari hiyo. Hayo yameelezwa na Meneja wa Bandazi …

Soma zaidi »

TPA YAWEKA MIUNDOMBINU BANDARI YA ZIWA NYASA KUHAKIKISHA WANANCHI WANAPATA HUDUMA YA USAFIRI

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania(TPA) imesema imeshaweka miundombinu katika bandari za Ziwa Nyasa kwa lengo la kuhakikisha wananchi wa maeneo wanaozunguka ziwa hilo wanapata huduma ya kusafiri kutoka eneo moja kwenda nyingine kwa kutumia usafiri wa majini zikiwemo meli. Akizungumza na waandishi wa habari katika mahojiano maalumu , Meneja …

Soma zaidi »