Maktaba ya Mwaka: 2019

MAMLAKA ZA MIJI ZATAKIWA KUTENGA MAENEO MAALUMU KWA AJILI YA WAFANYA BIASHARA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angeline Mabula amezitaka mamla za Miji zote nchini kuhakikisha zinatenga maeneo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wadogowadogo ili kuepusha migogoro ya matumizi ya ardhi katika Miji yao. Dkt. Mabula ameyasema hayo Wilayani Igunga Mkoani Tabora wakati akijibu maswali ya wananchi …

Soma zaidi »

LIVE: RAIS DKT. MAGUFULI AZUNGUMZA NA WATENDAJI WA KATA ZOTE TANZANIA BARA. IKULU DSM

Rais Dkt. john Pombe Maguduli anakutana na kuzunguma na Watendaji wa Kata kuotka katika Mamlaka ya Serikali za kata zote Tanzania Bara katika Bustani za Ukumbi wa Kikwete Ikulu JijininmDar es salaam ikiwa ni kwa mara ya kwanza toka tupate uhuru kushuhudia Watendaji wa Kata wakiingia Ikulu kwaajili ya kuzungumza …

Soma zaidi »

UJENZI WA STENDI, SOKO NA ENEO LA KUPUMZIKIA JIJINI DODOMA KUKAMILIKA DISEMBA 30 MWAKA HUU.

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma dkt Binilith Mahenge amesema ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa miradi ya uendelezaji miji mkakati(TSCP) inayotekelezwa jijini Dodoma ambayo ujenzi wake kwa sasa umefikia asilimia 75. Akizungumza leo agosti 30 baada ya kukagua ujenzi wa miradi hiyo ambayo ni eneo la kupumzikia, soko na stendi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA MAZUNGUMZO NA KAMISHNA WA UNHCR

Serikali ya Tanzania itaendelea kushirikiana na Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) katika kutatua changamoto zinazotokana na uwepo wa wakimbizi nchini pamoja na kutafuta suluhu ya kudumu kwenye nchi zao ili wakimbizi hao waweze kurejea makwao kuendelea na shughuli za maendeleo Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu, …

Soma zaidi »

JICA NA AFDB WATIA SAINI MAKUBALIANO YA USHIRIKIANO WA UWEKEZAJI AFRIKA

Shirika la Maendeleo ya Kimataifa la Japani (JICA) na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) wametia saini Marekebisho ya Makubaliano (Amendment of MoU) katika ushirikiano wao wa uwekezaji kwa pamoja barani Afrika. Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika,  Dkt. Akinwumi Adesina na Rais wa Shirika la Maendeleo ya Kimataifa …

Soma zaidi »

TUSIJIDANGANYE WATAWALA WETU WA ZAMANI HAWAWEZI KUGEUKA KWA USIKU MMOJA NA KUWA WAJOMBA ZETU AU WAKOMBOZI WETU KIUCHUMI – RAIS MAGUFULI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ametoa wito kwa Mataifa ya Afrika kutafsiri vizuri dhana ya uhuru na kujiepusha na masalia ya fikra za kikoloni za kuamini kuwa watawala wa zamani wa Mataifa ya Afrika ndio wenye uwezo wa kusaidia kusimamia na kuendeleza rasilimali …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS MAGUFULI MKUTANO WA TICAD

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Tanzania inahitaji kuwa na tekinolojia mpya na ya uhakika ili kufanikisha mkakati wa Seikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli wa kukuza uchumi na kufikia wa kati ifikapo 2015 kupitia sekta ya viwanda. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Agosti 28, 2019) katika …

Soma zaidi »