Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anaweka jiwe la msingi la Upanuzi wa Uwanja wa ndege wa Mtwara . Mhe. Rais Yupo ziara ya siku tatu Mkoani Mtwara
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2019
LIVE: BUNGE, MKUTANO WA KUMI NA TANO, KIKAO CHA KWANZA
OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAPONGEZWA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA VIWANDA, BIASHARA NA MAZINGIRA
Serikali imesema itaendelea na juhudi za kushawishi wadau wa maendeleo na Jumuiya za Kimataifa ili kupata fedha za kusimamia uratibu wa shughuli za mazingira na kukabiliana na Athari za Mabadiliko ya Tabianchi nchini. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira January Makamba ameyasema hayo hii leo …
Soma zaidi »WIZARA ITAENEDLEA KUANZISHA MASOKO YA MADINI – WAZIRI BITEKO
Wizara ya Madini itaendelea kusimamia Uanzishwaji wa Masoko ya Madini katika maeneo mbalimbali nchini huku ikiendelea kufanya marekebisho ya Kanuni za Uanzishwaji wa masoko hayo. Waziri wa Madini Doto Biteko ameyasema hayo Machi 31, 2019 wakati akifunga Semina ya siku mbili iliyoandaliwa na wizara kwa Wabunge wa Kamati ya Kudumu …
Soma zaidi »MRADI WA MAJI MLANDIZI MBOGA KUANZA KATIKATI YA MWEZI WA NNE
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ametembelea kiwanda cha mabomba cha Tanzania Steel Pipes kinachotengeneza mabomba ya kusafirishia maji kwenye mradi wa maji wa Mlandizi- Chalinze- Mboga, ambapo takribani mabomba 321 yameanza kusafirishwa kwa ajili ujenzi wa mradi huo unaotarajiwa kuanza katikati ya mwezi April. Amesema, kukamilika kwa mradi huo ambao …
Soma zaidi »LIVE: MKUU WA MKOA WA IRINGA AKIZINDUA JENGO LA ABIRIA KATIKA AIRPORT YA IRINGA
LIVE CATCH UP: RAIS MAGUFULI KATIKA HAFLA YA KUTUNUKU KAMISHENI MAAFISA WAPYA WA JWTZ KUNDI LA 65. IKULU JIJINI DSM.
Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 30 Machi, 2019 anawatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 146 wa JWTZ katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam.
Soma zaidi »UJENZI WA MGODI WA MFANO WA UCHIMBAJI MADINI NA MTAMBO WA UCHENJUAJI DHAHABU WAKAMILIKA
UTOAJI WA ELIMU BORA NI KIPAUMBELE CHA NCHI – WAZIRI MKUU MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema utoaji wa elimu bora kwa Watanzania ni moja ya vipaumbele vya nchi katika kuleta maendeleo na kufikia malengo ya Milenia 2025, Elimu kwa wote (EFA) na Mkakati wa Kupambana na Kupunguza Umasikini Tanzania (MKUKUTA). Amesema ili kuweza kufanikisha malengo hayo wanahitaji sekta hiyo kuwa bora, …
Soma zaidi »PROF PALAMAGAMBA AKUTANA NA BARONESS LYNDA CHALKER
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi amesema mabadiliko yote ya sheria yaliyofanyika hivi karibuni katika sekta za madini,maliasili na uwekezaji yana lengo la kuweka mazingira bora zaidi yatakayoleta tija kwa Taifa na wawekezaji kutokana na sheria mpya kuondoa utaifishaji (nationalization) na upokonyaji …
Soma zaidi »