ONGEZENI KASI YA KUWAHUDUMIA WANANCHI – DKT. CHAULA

  • Watumishi wa afya nchini wametakiwa kuongeza kasi ya kuwahudumia wananchi kwenye vituo vya kutolea huduma za afya nchini
  • Rai hiyo imetolewa leo na Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto-Idara kuu Aftlya Dkt. Zainab Chaula wakati akiongea na watumishi wa zahanati ya Kigoma jijini hapa.
3-01
Mganga mfawidhi wa zahanati ya Bangwe, Praygod Willybad akimuelezea Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula jinsi walivyojipanga kutoa huduma endapo atatokea muhisiwa wa magonjwa ya mlipuko kwenye jengo maalum lililotengwa na manispaa ya kigoma
  • “Tunaboresha huduma za afya kote nchini ili watu wasisafiri umbali mrefu kwenda kutafuta huduma za afya,zahanati ni ngazi ya awali ya afya ya msingi hivyo inasaidia wagonjwa wasio na shida kubwa kupata huduma karibu na maeneo yao”.Amesema Dkt. Chaula
  • Aidha, ameongeza kuwa kabla ya kuboresha huduma za afya nchini asilimia 80 ya akina mama walikuwa wakijifungulia majumbani,hivyo kwa hali.ya sasa akina mama wanafika vituoni kwa sababu ya kufuata huduma zilizoboreshwa.
  • Hali kadharika Dkt. Chaula aliupongeza Mpango wa Malipo kwa Ufanisi(RBF) kwa kuwajengea wodi ya wazazi kwenye zahanati na kuwapatia motisha watumishi
2-01
Dkt. Zainab Chaula akiangalia vifaa vilivyowekwa kwenye wodi hiyo maalum ya kuwahudumia wagonjwa wa milipuko endapo watatokea
  • “Kigoma imeingia katika mpango huu mwaka 2017 na hivyo niwapongeze kwa kuweza kuboresha huduma pamoja na kufanya makubwa ,kwa maboresho haya lazima wananchi wapate huduma bila manyanyaso yeyote”.Alisisitiza
  • Naye Mganga mfawidhi wa zahanati hiyo Godlove Myinga amesema kuwa kwa kipindi cha mwezi julai hadi septemba 2018 zahanati hiyo ilipokea kiasi cha shilingi milioni 7,924,214 ambazo asilimia 25 zitatumika kama motisha kwa watumishi na asilimia 75 itatumika kwa ajili ya ukarabati na vifaa tiba.
1-01
Katibu Mkuu Dkt. Zainab Chaula akiongea kwenye zahanati ya kigoma,amesema,kazi kubwa ya serikali ni kuwaendeleza watumishi wake hivyo alimuomba Mkurugenzi wa halmashauri ya kigoma Bw. Mwailwa Pangani kumuweka kwenye mpango wa kwenda kusoma mganga mfawidhi wa zahanati hiyo mwaka huu kutokana utendaji wake wa kazi: Mratibu wa halmashauri ya wilaya ya kigoma wa uzazi wa mpango, baba, mama na mtoto Bi. Bernadetha Peter akitoa taarifa ya huduma ya mama na mtoto ya manispaa hiyo
  • Kwa upande wa akina mama wanaojifungulia kwenye zahanati hiyo Mganga mfawidhi huyo amesema kumekuwa na ongezeko tangu wodi ya wazazi ilipozinduliwa mwaka 2018 kutoka akina mama 10 kwa mwezi hadi kufikia akina mama 30 mwaka 2019.
  • Mpango wa Malipo kwa Ufanisi (RBF) ni mfumo wa malipo ya fedha kwa vituo vya afya mara baada ya kufanyika uhakiki wa majukumu na viashiria vilivyowekwa na hivyo malipo hutokana na kiwango cha utendaji ,RBF ilianza kutekelezwa hapa nchini mwaka 2015 na kutarajia kuisha mwaka huu. Fedha za Mpango huu zimesaidia kuinua kiwango cha utoaji huduma katika vituo vya afya ambapo utumika katika kufanya ukarabati mdogomdogo wa vituo, ununuzi wa vifaa tiba, dawa na mahitaji mengine ya kituo. Na. Catherine Sungura-Kigoma
Ad

Unaweza kuangalia pia

UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA KALENGE WAKAMILIKA

Wananchi wa kijiji cha Kalenge wilayani Uvinza wameishukuru kwa Serikali kukamilika ujenzi wa zahanati na …

78 Maoni

  1. Max Verstappen and Red Bull Racing’s https://red-bull-racing.max-verstappen-fr.com path to success in Formula 1. A story of talent, determination and team support leading to a championship title.

  2. Olympique de Marseille https://liga1.marseilles-fr.com after several years in the shadows, once again becomes champion of France. How did they do it and what prospects open up for the club

  3. A fascinating story about how Elon Musk https://spacex.elon-musk-fr.com and his company SpaceX revolutionized space exploration, opening new horizons for humanity.

  4. Explore the career and significance of Monica Bellucci https://malena.monica-bellucci-fr.com in Malena (2000), which explores complex themes of beauty and human strength in wartime.

  5. Преимущества аренды склада https://popivy.ru/otvetstvennoe-hranenie-mebeli-santehniki-i-bytovoj-tehniki-na-sklade-v-moskve-preimushhestva-i-vygody/, как аренда складских помещений может улучшить ваш бизнес

  6. Rivaldo, or Rivaldo https://barcelona.rivaldo-br.com, is one of the greatest football players to ever play for Barcelona.

  7. The story of Luka Modric’s rise https://real-madrid.lukamodric-br.com from young talent to one of the greatest midfielders of his generation and a key player for the Royals.

  8. From academy product to captain and leader of Real Madrid https://real-madrid.ikercasillas-br.com Casillas became one of the greatest players in the history of Real Madrid.

  9. регистрация рио бет казино Rio Bet Casino

  10. Лучшие пансионаты для пожилых людей https://ernst-neizvestniy.ru в Самаре – недорогие дома для престарелых в Самарской области

  11. The fascinating story of Sergio Ramos’ https://seville.sergioramos.net rise from Sevilla graduate to one of Real Madrid and Spain’s greatest defenders.

  12. The incredible success story of 20-year-old Florian Wirtz https://bayer-04.florianwirtz-br.com, who quickly joined the Bayer team and became one of the best young talents in the world.

  13. The compelling story of Alisson Becker’s https://bayer-04.florianwirtz-br.com meteoric rise from young talent to key figure in Liverpool’s triumphant era under Jurgen Klopp.

  14. The incredible story https://napoli.khvichakvaratskhelia-br.com of a young Georgian talent’s transformation into an Italian Serie A star. Khvicha Kvaraeshvili is a rising phenomenon in European football.

  15. O meio-campista Rafael Veiga leva https://palmeiras.raphaelveiga-br.com o Palmeiras ao sucesso – o campeonato brasileiro e a vitoria na Copa Libertadores aos 24 anos.

  16. Daniel Alves https://paris-saint-germain.danielalves.net is a name that symbolizes the greatness of the world of football.

  17. Yacine Bounou https://al-hilal.yassine-bounou-ar.com known simply as Bono, is one of the most prominent Moroccan footballers of our time.

  18. Erling Haaland https://manchester-city.erling-haaland-ar.com born on July 21, 2000 in Leeds, England, began his football journey at an early age.

  19. Kevin De Bruyne https://manchester-city.kevin-de-bruyne-ar.com is a name every football fan knows today.

  20. Khvicha Kvaratskhelia https://napoli.khvicha-kvaratskhelia-ar.com is a name that in recent years has become a symbol of Georgian football talent and ambition.

  21. Football in Saudi Arabia https://al-hilal.saud-abdulhamid-ar.com is gaining more and more popularity and recognition on the international stage, and Saud Abdul Hamid, the young and talented defender of Al Hilal, is a shining example of this success.

  22. Sadio Mane https://al-nassr.sadio-mane-ar.com the Senegalese footballer best known for his performances at clubs such as Southampton and Liverpool, has become a prominent figure in Al Nassr.

  23. Travis Scott https://astroworld.travis-scott-ar.com is one of the brightest stars in the modern hip-hop industry.

  24. Juventus Football Club https://italy.juventus-ar.com is one of the most successful and decorated clubs in the history of Italian and world football.

  25. Автомобили Hongqi https://hongqi-krasnoyarsk.ru в наличии – официальный дилер Hongqi Красноярск

  26. Jennifer Lopez https://lets-get-loud.jenniferlopez-ar.com was born in 1969 in the Bronx, New York, to parents who were Puerto Rican immigrants.

  27. современный дизайн интерьера квартиры https://dizayn-interera-doma.ru

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *