Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge ameziagiza halmashauri nane za Mkoa wa Dodoma kusimamia na kuhakikisha wanafunzi wote elfu 33,803 waliofaulu darasa la saba na kuchaguliwa kujiunga kidato cha kwanza wanaripoti shuleni na kuanza masomo ifikapo Januari 6 mwaka huu. Dkt. Mahenge ametoa kauli hiyo januari 3 kwenye kikao …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2020
RAIS WA ZANZIBAR DK. SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesisitiza kuwa ardhi iliyotengwa kwa ajili ya kilimo hapa Zanzibar ni vyema ikatumika kwa ajili ya shughuli hiyo na si vyenginevyo. Rais Dk. Shein aliyasema hayo katika hotuba yake aliyoitoa katika uwekaji wa jiwe la msingi la …
Soma zaidi »RAIS SHEIN AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA SOKO LA SAMAKI NA BANDARI YA UVUVI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein amesema kuwa Zanzibar imo katika mchakato wa kutekeleza uchumi wa buluu na tayari hatua kubwa zinachukuliwa kuhakikisha lengo hilo linafikiwa. Rais Dk. Shein aliyasema hayo katika hotuba yake aliyoitoa katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA, AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA KOROSHO WA MKOA WA LINDI NA MTWARA
TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) KWA KIPINDI CHA MWAKA MMOJA WA 2019 IMEOKOA ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 28 KWA KUFANYA UPASUAJI WA MOYO KWA WAGONJWA 1873
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kipindi cha mwaka mmoja wa 2019 imeokoa zaidi ya shilingi bilioni 28 kwa kufanya upasuaji wa moyo kwa wagonjwa 1873 . Hayo yamesemwa jana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu huduma za matibabu …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATOA WITO KWA WATANZANIA KUANZISHA BUSTANI ZA WANYAMA
Rais Dkt. John Magufuli ametoa wito kwa Watanzania wengi zaidi kujitokeza kufuga wanyamapori kupitia bustani za wanyama (Zoo), ili kuongeza idadi ya wanyama hao na hivyo kupanua fursa za utalii na ajira. Rais Magufuli amewapongeza baadhi ya Watanzania walioanzisha Zoo hizo wakiwemo Lut. Jen Mstaafu Samwel Ndomba (Lugari Mini Zoo …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA HALMASHAURI WILAYANI RUANGWA
WAZIRI KAMWELWE AZINDUA HUDUMA YA MAWASILIANO VIJIJINI MLELE
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Isack Aloyce Kamwelwe amezindua huduma ya mawasiliano vijijini kwenye Wilaya ya Mlele mkoani Katavi . Mhandisi Kamwelwe amefanya uzinduzi huo jana kwenye kijiji cha Kanoge kilichopo Kata ya Utende Wilayani Mlele mkoani Katavi kwa kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na Mfuko wa Mawasiliano …
Soma zaidi »TRA YAKUSANYA TRILIONI 1.987 DESEMBA 2019
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), kwa mara nyingine, imevunja rekodi kwa kukusanya jumla ya kiasi cha sh. trilioni 1.987 kwa mwezi Desemba 2019 ambayo ni rekodi ya kwanza kufikiwa tangu kuanzishwa kwake ikilinganishwa na rekodi ya mwezi Septemba, 2019 iliyokuwa sh. trilioni 1.767. Akizungumza na waandishi wa habari leo …
Soma zaidi »