WAZIRI MKUU AKAGUA MAENDELEO YA MIRADI YA HALMASHAURI WILAYANI RUANGWA

6-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maabara ya hospitali mpya ya Wilaya ya Ruangwa, wakati alipokagua miradi ya Halmashauri, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
3-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maabara katika Shule ya Lucas Maria, iliyopo wilayani Ruangwa, wakati akikagua miradi ya Halmashauri, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
2 -01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua vitanda katika Shule ya Lucas Maria, iliyopo wilayani Ruangwa, wakati akikagua miradi ya Halmashauri, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
4-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiuliza jambo kwa Mshauri wa Mradi Sudi Shomari, wakati alipotembelea mradi majengo ya VETA, yanayojengwa katika Kata ya Nandagala wilayani Ruangwa, wakati akikagua miradi ya Halmashauri, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
5-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua mradi wa majengo ya VETA, yanayojengwa katika Kata ya Nandagala wilayani Ruangwa, wakati alipotembelea miradi ya Halmashauri, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
7-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua maabara ya hospitali mpya ya Wilaya ya Ruangwa, wakati alipokagua miradi ya Halmashauri, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
8-01
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifafanuliwa jambo, baada ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa ofisi za Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, wakati alipokagua miradi ya Halmashauri hiyo, Desemba 31, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

WAZIRI MKUU AKIWA NA WABUNGE MBALIMBALI BUNGENI MJINI DODOMA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *