Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wote wa sekta ya maji nchini kufanya kazi kwa uzalendo, bidii na weledi na kwa kutanguliza maslahi mapana ya nchi. Amesema lengo ni kuhakikisha kuwa kiwango cha upatikanaji wa huduma ya maji nchini kinaongezeka ili kufikia malengo ya kufikisha maji kwa kiwango cha …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2021
WAZIRI WA VIWANDA NA WAZIRI WA UWEKEZAJI WAKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo na Waziri wa Uwekezaji, Geofrrey Mwambe kwa pamoja wamekutana leo Mei 11, 2021 na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo ya Uingereza, Bw. James Duddridge. Katika kikao …
Soma zaidi »TANZANIA KINARA WA UBORA WA SEKTA YA FEDHA KUSINI MWA AFRIKA
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb) (kushoto) na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Prof. FLorens Luoga, wakisikiliza mada mbalimbali kuhusu masuala ya Fedha na uchumi wakati wa Semina kwa Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi, iliyofanyika Zanzibar. Sekta ya Fedha nchini Tanzania inaongoza …
Soma zaidi »KUANZISHWA KWA KIWANDA CHA KUSAFISHA MADINI CHA GGR KUCHANGAMSHA UCHUMI WA GEITA -WAZIRI BITEKO
Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akisisitiza jambo mara baada ya kuweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha GGR wakati akiwa katika ziara ya kikazi Mkoani Geita, tarehe 8 Mei 2021. Waziri wa Madini Mhe Doto Biteko akiweka Jiwe la Msingi katika kiwanda cha kusafisha madini cha …
Soma zaidi »SERIKALI INAHITAJI SHILINGI TRILIONI NANE KUSAMBAZA UMEME KATIKA VITONGOJI VYOTE
Na Jaina Msuya – REA Serikali inahitaji zaidi ya Shilingi Trilioni Nane kwa ajili ya kusambaza miundombinu ya umeme katika vitongoji ambavyo havijafikiwa na nishati hiyo. Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo alisema hayo katika Mkutano wa Kwanza wa Mwaka kati ya Wakala wa Nishati Vijijini …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA ARIDHISHWANA UTENDAJI WA NSSF, AWAHIMIZA KUENDELEZA UFANISI
Mkurugenzi Mkuu NSSF Bw.Masha Mshomba ahutubia na kueleza utekelezaji wa ofisi yake kabla ya ufunguzi wa mkutano wa Baraza la Wafanyakazi la NSSF lililofanyika Mkoani Morogoro. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Utatibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amepongeza kazi inayofanywa na Mfuko …
Soma zaidi »PROF. KITILA AKUTANA NA WAAGIZAJI NA WAZALISHAJI MAFUTA YA KULA NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo amekutana na waagizaji na wazalishaji mafuta ya kula nchini ili kujua sababu na changamoto zinazosababisha kupanda kwa bei ya mafuta ya kula na kuweka mikakati ya muda mfupi na mrefu ya kukabiliana na uhaba wa mafuta ya kula nchini Waziri Prof. Mkumbo …
Soma zaidi »SERIKALI YATOA AJIRA ZA WALIMU 6,949
Na Adili Mhina. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu ametangaza nafasi za ajira za walimu 6,949 wa Shule za Msingi na Sekondari zinazolenga kujaza nafasi wazi za watumishi waliokoma utumishi wao kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo vifo, kuacha kazi, kufukuzwa …
Soma zaidi »KITUO KIPYA CHA UMEME MTERA KIKAMILIKE KABLA YA OKTOBA – NAIBU WAZIRI BYABATO
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato ameagiza kuwa, ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme cha kV 220/33 katika Kituo cha umeme cha Mtera ukamilike kabla ya mwezi Oktoba mwaka huu. Alitoa agizo hilo tarehe 9 Mei,2021 wakati alipofanya ziara katika kituo cha kufua cha umeme cha Mtera na …
Soma zaidi »UADILIFU KUWEZESHA UKUAJI WA UCHUMI WA BLUE
Na. Peter Haule, WFM, Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar, Mhe. Haroun Ali Suleiman, amewataka watakaopewa jukumu la kuendesha Boti iliyotolewa kwa Taasisi ya Mfuko wa Maendeleo ya Elimu Jimbo la Kikwajuni kwa ajili shuguli za uchumi wa blue kuwa waaminifu ili …
Soma zaidi »