Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimkabidhi mfano wa funguo ya Nyumba Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kama ishara ya kumkabidhi Nyumba mpya ya kuishi iliyopo Wilayani Kinondoni Mkoani Dar es Salaam ambayo amejengewa na Serikali kwa mujibu wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2021
RAIS SAMIA AMKABIDHI GARI RAIS MSATAAFU MZEE MWINYI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akikata utepe ili kuzindua Kitabu cha Historia ya Maisha ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Convention Centre Jijini Dar es Salaam leo tarehe 08 Mei, 2021. …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AMTEMBELEA MAMA JANETH MAGUFULI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Mjane wa Hayati Dkt. John Magufuli Mama Janeth Magufuli wakati alipomtembelea Nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam leo Mei 08,2021. Katikati ni Mke wa Makamu wa Rais Mama Mbonimpaye Mpango. (Picha na Ofisi …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO AMEZITAKA MAMLAKA ZA MAJI KUWA NA MFUMO BORA WA MAJITAKA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Selemani Jafo amezitaka mamlaka za maji nchini kuwa na mifumo bora ya majitaka ili kuyadhibiti yasitiririke ovyo na kuhatarisha mazingira na afya. Jafo ametoa agizo hilo Mei 7, 2021 alipofanya ziara ya kufuatilia utekelezaji wa agizo alilolitoa alipotembelea eneo …
Soma zaidi »DAR ES SALAAM SASA WANAJARIBU MAJI, WANAJARIBU KINA CHA MAJI – RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Viongozi wa Kidini, Viongozi Wakuu wa Kamati ya Ulinzi na Usalama pamoja na Wazee wa Mkoa wa Dar es Salaam wakiwa wamesimama wakati wa Wimbo wa Taifa ukipigwa katika ukumbi wa Mlimani City kabla ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan alipohutubia Wazee wa …
Soma zaidi »GST – WACHIMBAJI WADOGO WA MADINI WANACHUKUA SAMPULI ZA UCHUNGUZI KIHOLELA
Na. Projestus Binamungu Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) inaendesha mafunzo ya siku tatu kwa wachimbaji wadogo wa madini mkoani Mtwara juu ya namna bora ya uchukuaji wa sampuli za uchunguzi na uchenjuaji wa madini, kama sehemu ya kuwawezesha wachimbaji hao kufanya shughuli zao kisasa na kisayansi …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichokutana leo Mei 06,2021 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma
Soma zaidi »WAZIRI WA NISHATI APONGEZA WAFANYAKAZI KWA KUCHANGIA UCHUMI WA KATI
Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewapongeza wafanyakazi wa Wizara ya Nishati na Taasisi zake kwa kufanya kazi kwa ufanisi ambao umechagiza nchi kuingia katika uchumi wa kati kutokana na uwepo wa nishati inayotabirika. Dkt.Kalemani ametoa pongezi hizo jijini Dodoma, tarehe 5 Mei, 2021 wakati akifungua Mkutano Maalum wa Baraza la …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUTUBIA MABUNGE MAWILI YA KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya Kenya (Bunge la Taifa pamoja na Bunge la Senate la Kenya kwa pamoja Jijini Nairobi leo tarehe 05, Mei, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Mabunge Mawili ya …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA MARA BAADA YA KUWASILI NAIROBI NCHINI KENYA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais …
Soma zaidi »