Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, Waziri wa Madini Doto Biteko, Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu TFS Profesa Dos Santos Silayo pamoja na viongozi …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwaka: 2021
WAZIRI BASHUNGWA KUTOA KADI ZA BIMA YA AFYA KWA WANAMUZIKI
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kongamano la Umoja wa Wanamuziki Tanzania (TAMUFO) litakalofanyika Februari 13, 2021 jijini Arusha. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha jana Katibu Mkuu wa TAMUFO, Stella Joel alisema pamoja na mambo mengine Bashungwa atatoa kadi za …
Soma zaidi »WAZIRI MWAMBE ATOA ONYO KALI LA KUWAFUTIA LESENI WANAOPANDISHA BEI YA MAFUTA YA KULA
Na Eliud Rwechungura. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe amewahakikishia watanzania kuwa hakuna uhaba wa Mafuta ya kula nchini na ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara wanaopandisha bei ya mafuta ya kula nchini na amehaidi kuwachukulia hatua ya kuwafutia leseni za biashara wafanyabiashara wakubwa wanaopandisha bei, nje ya ongezeko la …
Soma zaidi »DKT. NDUGULILE AJIKITA KUTATUA CHANGAMOTO ZA MAWASILIANO YA SIMU NA DATA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza na Watendaji Wakuu wa Makampuni ya simu nchiniwengine kutoka kulia ni katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, jijini Dodoma, wengine kutoka kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula, Naibu wake dkt Jim Yonazi na Mkurugenzi wa Idara …
Soma zaidi »DC CHONGOLO APOKEA RIPOTI YA CHANGAMOTO YA TOPE KUTOKA KWA WATAALAMU WA JIOLOJIA
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Mhe. Daniel Chongolo amepokea ripoti ya utafiti iliyofanywa na wataalamu wa Jiolojia kuhusiana na kuwepo kwa changamoto ya Tope katika eneo la Kunduchi jijini Dar es Salaam Novemba mwaka jana. Mhe. Chongolo ampokea taarifa hiyo leo ofisini kwake kutoka kwa Timu ya wataalamu iliyokuwa inacunguza …
Soma zaidi »WAZIRI NDAKI AAGIZA KUKAMATWA MARA MOJA WATUHUMIWA 67 WA UTOROSHAJI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE
Na. Edward Kondela Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki ameliagiza jeshi la polisi nchini kikosi cha kuzuia wizi wa mifugo, kuwasaka na kuwamakata mara moja watuhumiwa 67 wa utoroshaji wa mifugo na mazao yake. Waziri Ndaki amebainisha hayo leo (26.01.2021) mjini Dodoma, katika ofisi za Wizara ya Mifugo …
Soma zaidi »Ole NASHA AKUTANA NA SPIKA WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole Nasha akisisitiza jambo walipofanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mhe. Martin Ngaga aliyemtembelea Naibu Waziri Ofisini kwake jijini Dodoma. Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. William Ole …
Soma zaidi »DK. AKWILAPO AIPONGEZA CSSC KWA KUTOA ELIMU BORA NCHINI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dk.Leonard Akwilapo, ameipongeza Tume ya Kikristo ya Huduma za Jamii(CSSC),kwa mchango wake katika sekta ya elimu nchini huku akiahidi serikali kufanyia kazi maoni yanayotolewa ikiwamo kupunguza kwa mitihani ya majaribio. Akifungua leo Mkutano wa mwaka cha Wakuu wa Shule za Sekondari na Msingi …
Soma zaidi »NDUGULILE ATOA ONYO KWA WATOA HUDUMA ZA MAWASILIANO KUVUJISHA TAARIFA BINAFSI ZA WATEJA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (katikati mwenye suti ya bluu) akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa kupeleka mawasiliano vijijini baina ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF), Mtendaji Mkuu Justina Mashiba na Kampuni ya simu ya Tigo, katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. Kulia kwake …
Soma zaidi »DKT. MPANGO AWAAGIZA WATUMISHI WA WIZARA HIYO KUACHA KUFANYAKAZI KWA MAZOEA
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuhakikisha Serikali inapata mafanikio makubwa Zaidi ya kukuza uchumi wan chi na kuboresha maisha ya wananchi. Alitoa …
Soma zaidi »