Maktaba ya Mwaka: 2021

DAWASA YAKABIDHIWA MRADI MKUBWA KILIMANJARO, AFISA MTENDAJI MKUU ASEMA WANANCHI KUNYWA MAJI NOVEMBA 30

Waziri wa Maji Jumaa Aweso akiwa ameongozana na viongozi mbalimbali wakiwemo wataalamu kutoka taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maji wakati akitembelea maeneo mbalimbali kujionea sehemu ya mradi wa maji wa Same -Mwanga -Korogwe uliokua umesimama Wizara ya Maji imekabidhi mradi wa maji wa Same –Mwanga –Korogwe (SMK) kwa Mamlaka …

Soma zaidi »

MKOA WA RUVUMA WASHIKA NAFASI NZURI KITAIFA UKUSANYAJI WA MAPATO

Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Chritina Mndeme amewapongeza Wakurugenzi watendaji wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa kusimamia ukusanyaji wa Mapato kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ambapo Halmashauri zote nane zimevuka  asilimia 80 na kufanya Mkoa kuwa katika nafasi nzuri Kitaifa. Mndeme pia ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Mkoa wa …

Soma zaidi »

MWAKALINGA AKAGUA MIFUMO YA TEHAMA KUFUATILIA UTENDAJI WA MIZANI

Mhandisi Kashinde Musa akifafanua jambo kwa baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) wakati menejimenti hiyo ilipotembelea chumba maalumu chenye mifumo ya TEHAMA kitakacho iwezesha Wizara kufuatilia kwa karibu utendaji wa mizani, barabara, viwanja vya ndege, karakana pamoja na vivuko. Mhandisi Kashinde Musa …

Soma zaidi »

DKT CHAULA AONGOZA WIZARA YA MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI KUANDAA MPANGO MKAKATI WA UTENDAJI KAZI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt Zainab Chaula ameongoza Menejimenti, maafisa waandamizi na wawakilishi wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kuandaa Mpango Mkakati wa utendaji kazi na ufuatiliaji kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora, kazi itakayofanyika kwa siku 12 katika …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AWATAKA TTCL KUONGEZA UBUNIFU NA UTAFITI WA MASOKO YA HUDUMA NA BIDHAA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile akisisitiza jambo wakati akifunga kikao cha Mameneja wa Shirika la Mawasiliano Tanzania, Dodoma. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula na kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia …

Soma zaidi »

RAIS DKT. MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO MAPYA YA SHULE YA SEKONDARI IHUNGO MKOANI KAGERA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo wakati akielezea kuhusu ujenzi wa Majengo Mapya ya Shule hiyo ya Ihungo Sekondari  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Elimu Profesa Joyce …

Soma zaidi »

WAZIRI MWAMBE AWATAKA WATUMISHI WA BARAZA LA USHINDANI (FCT) KUFANYA KAZI KWA WELEDI

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) aliwasihi  wafanyabiashara kuwasilisha rufaa zao iwapo hawakuridhika na maamuzi yanayotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA, Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri na Usalamawa Anga (TCAA), Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa nchi kavu LATRA, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania …

Soma zaidi »

TARURA SINGIDA YAOKOA ZAIDI YA BILIONI 1.8 UJENZI WA DARAJA WILAYANI MANYONI

Watendaji wa  Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) Wilaya ya Manyoni wakikagua daraja hilo. Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Rais Dk. John Magufuli kupitia watendaji waaminifu wa Wakala wa Barabara za Mijini na Vijijini (TARURA) imeokoa zaidi ya bilioni 1.8 kwenye ujenzi ambao tayari umekamilika wa daraja la …

Soma zaidi »

SIMBACHAWENE: ASKARI WATAKAOSHINDWA KUWABAINI WAHAMIAJI HARAMU NCHINI ‘NITAFAGIA’

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akizungumza wakati akifungua mafunzo ya uongozi kwa maafisa na askari wa uhamiaji  katika kambi mpya ya Boma Kichaka Miba, iliyopo Wilayani Mkinga, Mkoa wa Tanga. Amesema askari watakaoshindwa kuwabaini Wahamiaji haramu hususani maeneo ya mipakani wanapoingilia watawajibishwa. Kulia ni Mkuu wa …

Soma zaidi »