Maktaba ya Mwaka: 2021

SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KANGOMBA UNUNUZI WA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Naibu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe akifafanua jambo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo Maafisa Ushirika yaliyofanyika katika ukumbi wa BOT mkoani Mtwara, tarehe 20 Septemba 2021. Waziri wa Kilimo Prof Adolf Mkenda ametoa onyo kali kwa wanunuzi wa korosho kwa njia isiyo halali maarufu kama ‘Kangomba’ hali …

Soma zaidi »

MRADI WA UMEME RUSUMO KUUNGANISHA MIKOA YA KAGERA, KIGOMA, RUKWA NA KATAVI KWENYE GRIDI YA TAIFA – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mradi wa kuzalisha umeme wa kikanda wa Rusumo utakuwa mkombozi kwa wananchi wa mikoa ya Kagera, Kigoma , Rukwa na Katavi kwani utazalisha umeme wa uhakika utakaowezesha Mikoa hiyo kuunganishwa na  gridi ya taifa. Mradi huo unaotekelezwa kwa kuzingatia makubaliano ya Kiserikali ya nchi za …

Soma zaidi »

SERIKALI KUFANYA UPEMBUZI YAKINIFU KATIKA ZIWE JIPE

Serikali imeelekeza wataalamu wa mazingira kufika katika Ziwa Jipe wilayani Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro na kufanya upembuzi yakinifu utakaosaidia kuyaondoa magugu maji yaliyozingira ziwa hilo. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Hamad Hassan Chande Chande ametoa maelekezo hayo Septemba 20, 2021 alipofanya ziara ya kikazi …

Soma zaidi »

DKT. NDUGULILE AKABIDHI RASMI OFISI YA WIZARA KWA WAZIRI MPYA DKT. KIJAJI

Prisca Ulomi na Faraja Mpina, Dodoma Mbunge wa Kigamboni na aliyekuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile tarehe 20.09.2021 amekabidhi rasmi Ofisi kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji na kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA UN KUHUSU MABADILIKO YA TABIA NCHI

Rais Samia Suluhu Hassan, tarehe 20 Septemba, 2021 ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba dunia na kusisitiza umuhimu wa kutopuuzia juhudi za kukabiliana na janga hilo. “Tuko katika kipindi ambacho wakati tunapambana na athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi bado tunataabika …

Soma zaidi »

SERIKALI YA TANZANIA IMETAKA KUWEPO NA UHURU WA KISERA KWA NCHI ZINAZOENDELEA

Serikali ya Tanzania imetaka kuwepo na uhuru wa kisera kwa nchi zinazoendelea na maskini ili kujihami na athari za uingizwaji uliokithiri wa bidhaa za kilimo hususan kutoka nchi zilizoendelea. Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Prof.Kitila Mkumbo amesema hayo Septemba 16, 2021, katika Mkutano wa Mawaziri wa Kundi la Nchi …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA BILIONI 3 KULIPA WATUMISHI WA AFYA WALIOSHIRIKI MAPAMBANO DHIDI YA UVIKO-19

Na WAMJW – Kibaha, PWANI.Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Mhe Samia Suluhu Hassani imepitisha fedha kiasi cha Shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya malipo kwa watumishi wa sekta ya afya waliosWayuhiriki katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa UVIKO-19.Hayo yamesemwa leo na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin …

Soma zaidi »