Maktaba ya Mwezi: March 2022

DKT. YONAZI AMELIKUMBUSHA JESHI LA POLISI WAJIBU WA KUJIFUNZA NA KUTOA ELIMU YA USALAMA MTANDAO

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) CP Camilius Wambura akizungumza wakati wa mafunzo ya Usalama Mtandao kwa Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa, Wakuu wa Vikosi na Wakuu wa Madawati ya Upelelezi wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani), yaliyofanyika leo tarehe 21 Machi 2022, jijini Dodoma. Katibu Mkuu …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa mara baada ya kupokea Taarifa yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Machi, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA KUZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI MLANDIZI – MBOGA MACHI 22

Na Mwamvua Mwinyi,Pwani Mradi mkubwa wa maji Mlandizi-Mboga (Chalinze) mkoani Pwani uliogharimu Bilioni 18, unatarajiwa kuzinduliwa Machi 22 mwaka huu ,na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan. Mradi huo unatajwa kwenda kuondoa kero kubwa ya maji waliyokuwa wakiipata wananchi Chalinze na maeneo jirani . Akitoa taarifa ya …

Soma zaidi »

MAMA JANETH MAGUFULI AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUENZI DKT JOHN MAGUFULI KANISA KATOLIKI LA KAWEKAMO JIJINI MWANZA

Mama Janeth Magufuli, mjane wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, akiwasili katika kanisa la Kawekamo jijini Mwanza kuhudhuria Misa Maalumu ya kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha marehemu mumewe leo Jumapili Machi 2022. Pamoja naye ni Waziri wa Ardhi, Nyumba na …

Soma zaidi »