“Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka huu nchini, usiwe kigezo cha kugawa wananchi bali watu wote waungane, wapendane na wathaminiane ili kuendelea kudumisha amani iliyopo”. Mhe Dkt Doto Biteko
MatokeoChanya
January 2, 2024
Demokrasia, Matokeo ChanyA+
145 Imeonekana