Rais Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye Ibada Maalum ya Kumuingiza kazini Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Askofu Dkt. Alex Gehaz Malasusa inayofanyika katika Kanisa Kuu la Azania Front Jijini Dar MatokeoChanya January 21, 2024 DIPLOMASIA, Matokeo ChanyA+, MKOA WA DAR ES SALAAM, RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, Tanzania, Tanzania MpyA+ Acha maoni 30 Imeonekana Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest