Rais Samia Suluhu ametumia trilioni 6 kwa sekta ya Afya ndani ya miaka miwili, huku kila Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ikipata CT-Scan, tofauti na awali iliyokuwa na CT-Scan 2 tu. #HayaNiMatokeoChanya+ #KatibaNiMaridhiano #UchaguziNiMashindano #KaziInaendelea