Maktaba ya Kila Siku: February 21, 2024

 Maji Safi ni Kijiji kwa Kijiji: Mafanikio na Maendeleo ya Miradi ya Maji Vijijini nchini Tanzania (Julai hadi Desemba 2023)

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeendelea kutekeleza ahadi yake ya kuhakikisha upatikanaji wa maji safi na salama kwa wananchi, hususan wale wanaoishi vijijini. Katika kipindi cha Julai hadi Desemba 2023, serikali imeripoti mafanikio makubwa katika kuleta huduma bora za maji kwa vijiji vyetu. Hapa ni muhtasari wa maendeleo …

Soma zaidi »