Maktaba ya Mwezi: May 2024

Kongamano la JUMIKITA 2024, Kujadili Mchango wa Miaka Mitatu ya Rais Samia na Uhuru wa Vyombo vya Habari Tanzania.

Tarehe 21 Mei 2024, Kongamano la Jumuiya ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii Tanzania (JUMIKITA) limepata heshima ya kuwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kama mgeni rasmi. Kongamano hili ni jukwaa muhimu ambalo linawakutanisha wanahabari wa mitandao ya kijamii kutoka sehemu mbalimbali za Tanzania ili kujadili masuala muhimu ya kijamii, …

Soma zaidi »

Maendeleo Makubwa: Reli ya SGR Kutoka Makutupora-Tabora Kukamilika Januari 2026

Taarifa hii inaleta nuru kuhusu maendeleo ya mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa ya Standard Gauge Railway (SGR) katika eneo la Makutupora-Tabora nchini Tanzania. Meneja Mradi Msaidizi, Ayubu Mdachi, anawasilisha ripoti kuhusu hatua zilizofikiwa hadi sasa mbele ya wataalamu kutoka Wizara ya Uchukuzi ambao wametembelea mradi huo. Hii ni …

Soma zaidi »

KAMPUNI ZA TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KWA PAMOJA KATIKA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UJENZI

Tanzania na China zimekubaliana kuimarisha ushirikiano katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi wa miundombinu ya barabara na madaraja kwa kuyawezesha Makampuni ya Tanzania kupewa sehemu ya kazi za ujenzi kutoka kwa Makampuni ya Kichina yatakayopewa kazi ya kutekeleza miradi ya ujenzi nchini. Makubaliano hayo yamefikiwa leo Mei 20, 2024 …

Soma zaidi »

Jukumu la Baraza la Taifa la Usimamizi na Udhibiti wa Mazingira Tanzania (NEMC) katika Kuboresha Utunzaji wa Mazingira katika Sekta Mbalimbali

Baraza la Taifa la Usimamizi na Udhibiti wa Mazingira Tanzania (NEMC) lina jukumu muhimu katika kusimamia na kuboresha utunzaji wa mazingira katika sekta mbalimbali nchini. Hapa kuna jinsi NEMC inavyotekeleza majukumu yake katika ardhi, ikolojia, uchumi, madini, na viwanda:  Tathmini za Athari za Mazingira (EIA) NEMC inaratibu na kufanya tathmini …

Soma zaidi »

Umuhimu wa Uhifadhi wa Mazingira Bora na Safi kwa Maendeleo ya Tanzania na Afya ya Jamii

Mazingira asili ni mazingira ambayo hayajabadilishwa au kuharibiwa sana na shughuli za kibinadamu. Yanajumuisha misitu, maziwa, mito, milima, mabonde, na viumbehai wote wanaoishi katika mazingira hayo bila kuingiliwa sana na shughuli za kibinadamu. Umuhimu wa mazingira bora na safi kwa Tanzania na watu wake ni mkubwa sana kwa sababu ya …

Soma zaidi »

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Biashara, Uchumi, Nchi zinazozungumza Kifaransa na Wafaransa waishio nje ya nchi, Mhe. Frank Reister katika ofisi za Wizara jijini Paris, Ufaransa tarehe 15 Mei, 2024.

Mawaziri hao wamejadili kuhusu namna bora ya kuimarisha ushirikiano kwenye masuala ya biashara na uwekezaji ambapo, Mhe. Makamba ametumia fursa hiyo kuukaribisha Ujumbe wa Wafanyabiashara utakaongozwa na Jumuiya ya Wafanyabiashara wa Ufaransa (MEDEF) unaotarajia kushiriki kwenye Jukwaa la Biashara linalotarajia kufanyika kuanzia tarehe 27 hadi 29 Mei, 2024 jijini Dar …

Soma zaidi »

Msalaba Mwekundu Tanzania: Nguzo ya Kibinadamu na Ustawi Katika Kukabili Majanga na Kuimarisha Jamii

Shirika la Msalaba Mwekundu Tanzania ni sehemu ya Mtandao wa Kimataifa wa Msalaba Mwekundu na Mwezi Mwekundu, ambao ni muungano wa mashirika ya kibinadamu yanayotoa misaada ya dharura na huduma za kijamii katika nchi mbalimbali duniani. Shirika hili nchini Tanzania lina wajibu mkubwa katika kusaidia jamii hasa wakati wa majanga …

Soma zaidi »

Msalaba Mwekundu: Nguzo ya Kibinadamu na Ujenzi wa Jamii Imara

Msalaba Mwekundu, ambao ni sehemu ya Shirikisho la Kimataifa la Msalaba Mwekundu na Hilali Nyekundu, ni shirika la kibinadamu linalojulikana duniani kote kwa juhudi zake za kutoa msaada na ulinzi kwa watu walioathirika na majanga kama vile vita, maafa ya asili, na milipuko ya magonjwa. Lengo kuu la Msalaba Mwekundu …

Soma zaidi »

WIZARA, TAASISI ZAAGIZWA KUZINGATIA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Wizara, Taasisi, Mamlaka, wadau na sekta binafsi zimeagizwa kuzingatia matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia ili kulinda mazingira na athari nyingine zinazotokana na nishati isiyo safi. Agizo hilo limetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo (Mei 8, 2024) Jijini Dar es salaam …

Soma zaidi »

HOTUBA YA WAZIRI WA NCHI MUUNGANO NA MAZINGIRA DKT SELEMAN JAFO UZINDUZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA

UZINDUZI WA MKAKATI WA TAIFA WA MATUMIZI YA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024-2034 Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034″ ni mpango mpana uliowekwa na serikali ya Tanzania kuboresha matumizi ya nishati safi kwa kupikia. Mkakati huu unalenga kufikia asilimia 80 ya Watanzania watumie …

Soma zaidi »