Maktaba ya Mwezi: June 2024

WANANCHI WAIPONGEZA SERIKALI KUFANIKISHA UJENZI BARABARA YA BUGENE-KASULO-KUMUNAZI 

Wakazi wa Kijiji Cha Nyakahanga wilayani Karagwe Mkoani Kagera wameishukuru Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuimarisha ujenzi wa miundombinu ya barabara pamoja na madaraja. Wameipongeza Wizara ya Ujenzi Kupitia Wakala ya Barabara Tanzania -TANROADS kwa kuwajengea barabara inayounganisha …

Soma zaidi »

BAJETI KUU YA SERIKALI 2024-2025 KATIKA SEKTA MBALIMBALI ZA KIMAENDELEO NCHINI TANZANIA 

Msamaha wa Kodi kwa Trekta za Kilimo  Kuingiza trekta lenye ekseli moja kwenye wigo wa zana na vifaa vya kilimo vinavyopata msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ni hatua muhimu katika kuendeleza sekta ya kilimo nchini. Marekebisho haya yanalenga kuboresha miundombinu ya kilimo na kufanya vifaa vya kisasa …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AWEKA MSISITIZO KATIKA MAGEUZI YA KUKUA KIUCHUMI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kuweka msisitizo juu ya muendelezo wa mageuzi katika Mashirika na Taasisi za Umma kwa lengo la kuleta mageuzi makubwa ya kiuchumi katika Taifa letu la Tanzania kwa manufaa ya Taifa na Watanzania wote kwa ujumla. Rais …

Soma zaidi »

Na Haya Ni Maboresho Makubwa katika Sekta ya Afya Nchini Tanzania

Nchi yetu inajivunia hatua kubwa tunazoendelea kupiga kwenye eneo hili ambapo pamoja na maboresho na ujenzi, sasa kila Hospitali ya Rufaa ya Kanda inatoa huduma ya MRI na kila Hospitali ya Rufaa ya Mkoa inatoa huduma ya CT scan. Shukrani hizi toka mkoani Kagera kutokana na maboresho makubwa yanayoendelea katika …

Soma zaidi »