MLELE SASA IMEFUNGUKA, NA TUNAONA MAENDELEO KATIKA SEKTA MBALIMBALI, SERIKALI YETU KWELI IPO KAZINI

Rais Wa Wa Jamhuri Ya Muungno Wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Amezungumza Na Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Kilichopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi Baada Ya Kuzindua Kitua Cha Kupooza Umeeme Cha Gridi Ya Taifa Cha Mlele , Ambapo Ameewataka Wananchi Kutunza Mazingira Na Kuacha Kuchoma Misitu Hovyo. Aidha Baadhi Ya Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Wameetoa Moani Na Kuichambua Hotuba Hiyo.

Ad

Unaweza kuangalia pia

AMKA TANZANIA, KAZI NI MAENDELEO, TUIJENGE NCHI YETU.

SIO NDOTO TENA!! TUKIISHI FALSAFA YA 4R YA RAIS DKT SAMIA TUTAJENGA TAIFA IMARA NA …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *